MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
- Thread starter
-
- #41
Nchi hii,mfumo upi mdada Miaka 20 kamaliza kusoma?
Labda wanaosoma mitaala hiyo mingine sio hii ya kayumba....
Halafu suala la kuzaa watt wengi sshv ,hivi ni kweli Bado wapo wanaume na wanawake wanataka watt wengi miaka hii ?Sina uhakika kwa maisha yapi?
Anyway sshv watu wanazaa tu wakiamua haijalishi umri mkuu
Tanzania wanawake wasomi tukipima kwa wale waliofika chuo kikuu. huwa wanahitimu shahada yao wakiwa na miaka 23.
shule ya msingi wanaanza na miaka 7 na wanamaliza msingi na miaka 13 ( tena hao kayumba, wale wa english medium la kwanza wanaanza mapema zaidi na miaka mitano ama sita )
form one wanaanza na miaka 14 na wanamaliza o level na miaka 18
form 5 wanaanza na miaka 18 na wanamaliza na miaka 19
chuo wanaanza na miaka 20 na wanamaliza na miaka 23 wale wa kozi ndefu kama udaktari ndio wanamaliza na 24 ama 25.
umri ni factor kubwa sana ya uzazi kwa mwanamke. utafiti wa kisayansi umethibitisha hilo