Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

Nchi hii,mfumo upi mdada Miaka 20 kamaliza kusoma?
Labda wanaosoma mitaala hiyo mingine sio hii ya kayumba....
Halafu suala la kuzaa watt wengi sshv ,hivi ni kweli Bado wapo wanaume na wanawake wanataka watt wengi miaka hii ?Sina uhakika kwa maisha yapi?
Anyway sshv watu wanazaa tu wakiamua haijalishi umri mkuu

Tanzania wanawake wasomi tukipima kwa wale waliofika chuo kikuu. huwa wanahitimu shahada yao wakiwa na miaka 23.

shule ya msingi wanaanza na miaka 7 na wanamaliza msingi na miaka 13 ( tena hao kayumba, wale wa english medium la kwanza wanaanza mapema zaidi na miaka mitano ama sita )

form one wanaanza na miaka 14 na wanamaliza o level na miaka 18

form 5 wanaanza na miaka 18 na wanamaliza na miaka 19

chuo wanaanza na miaka 20 na wanamaliza na miaka 23 wale wa kozi ndefu kama udaktari ndio wanamaliza na 24 ama 25.

umri ni factor kubwa sana ya uzazi kwa mwanamke. utafiti wa kisayansi umethibitisha hilo

nyoka women.png
 
Hii mada ni moja ya kiashiria cha upungufu wa wanaume.

Mwanaume amezaliwa kuwa kiongozi.

Kiongozi hapaswi kulalamika.

Hapa ninaona wanaume wanalalamika tu kuhusu wanawake.

Wanaume sisi ndiyo viongozi na kwa hiyo ni jukumu letu kuwatuliza wanawake.

Mwanamke kamili akitongozwa hawezi kukubali harakaharaka. Hiyo ni kawaida.

Zamani tulikuwa tunawatongoza wananawake wakati mwingine unasubiri miezi sita ndipo ukubaliwe.

Sasa naona vijana wanatongoza leo wakikataliwa wanasusa kabisa na kulaumu.

Kifuatacho mwanamke anakata tamaa na kukuona huwezi kuwa baba wa familia na huwezi kuwa kiongozi na mlinzi kwake.

Baba gani unapewa no moja tu unarudi nyuma? Utaweza kuitafutia familia? Utaweza kuzimudu dhoruba za maisha?

Mimi ninahisi wanawake kwenye hili wasilaumiwe ila walaumiwe wanaume ambao wameshindwa kuandaa vijana wao wa kiume kuingia kwenye ulingo wa mapambano.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani hizi topic ss zimekua kero
Watu hawaoni mambo yalivyobadirika
Watu hawajali tena hayo mambo sikuhizi km ulaya
Hapo sasa, watu wanalazimisha mambo na venye hamna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye hii Dunia ya Kila aina ya technolojia
Anaongelea ukomo,duh

teknolojia zimekuja sababu kuu ni kulinda mayai ya mwanamke yasipoteze ubora maana wanajua umri unavyoenda yanapoteza quality yake. nchi zilizoendelea wanawake wasiotaka kuzaa mapema sababu ya career zao huwa wana freeze mayai yao kipindi wakiwa na umri mdogo. mfano binti wa miaka 25 akifreeze mayai yake . siku akifika miaka 40 anataka kuzaa anatumia mayai yake yale yale aliyoyafreeze akiwa na miaka 25.

freezing eggs.png
 
Nchi hii,mfumo upi mdada Miaka 20 kamaliza kusoma?
Labda wanaosoma mitaala hiyo mingine sio hii ya kayumba....
Halafu suala la kuzaa watt wengi sshv ,hivi ni kweli Bado wapo wanaume na wanawake wanataka watt wengi miaka hii ?Sina uhakika kwa maisha yapi?
Anyway sshv watu wanazaa tu wakiamua haijalishi umri mkuu
Risk factors, kinachoongelewa sio ukomo wa kuzaa coz hata 40s wanazaa, wengine hadi 50s. Ila complications zinaongezeka kadri umri unavyosonga. Kama kuna chances ya kupata watoto ukiwa 20s na 30s ni vyema sana, unapunguza risks za mimba.
 
Hii mada ni moja ya kiashiria cha upungufu wa wanaume.

Mwanaume amezaliwa kuwa kiongozi.

Kiongozi hapaswi kulalamika.

Hapa ninaona wanaume wanalalamika tu kuhusu wanawake.

Wanaume sisi ndiyo viongozi na kwa hiyo ni jukumu letu kuwatuliza wanawake.

Mwanamke kamili akitongozwa hawezi kukubali harakaharaka. Hiyo ni kawaida.

Zamani tulikuwa tunawatongoza wananawake wakati mwingine unasubiri miezi sita ndipo ukubaliwe.

Sasa naona vijana wanatongoza leo wakikataliwa wanasusa kabisa na kulaumu.

Kifuatacho mwanamke anakata tamaa na kukuona huwezi kuwa baba wa familia na huwezi kuwa kiongozi na mlinzi kwake.

Baba gani unapewa no moja tu unarudi nyuma? Utaweza kuitafutia familia? Utaweza kuzimudu dhoruba za maisha?

Mimi ninahisi wanawake kwenye hili wasilaumiwe ila walaumiwe wanaume ambao wameshindwa kuandaa vijana wao wa kiume kuingia kwenye ulingo wa mapambano.
Yaani nikutongoze useme No, sikutaki, hunivutii, sio type yangu nk then nikufuate tena upumbavu huo sifanyi mie kama wewe unaweza kuwa mwanaume ufanye hivyo.

Kwanza unachotakiwa kujua maisha ya sasa yamagata sana, watu hawana muda kabisa then nianze kukufutafuata wewe pia kwanza unajua Hustle anayofanya mwanaume behind mpaka siku anakutongoza wewe unaona imekuja tu automatically just munaandikaga "We meet in Mall" kumbe mwanaume ameshakuwinda mara 10 mpaka hio siku wewe unaona mme meet.
 
Je unafahamu kuoa / kuolewa na kuzaa ni jambo la hiari ya mtu? Vip wale wenye wana amua hawazai wala kuolewa?

Nafahamu ndio. Hoja yangu imewaongelea wale wanaotaka kuwa na ndoa na familia. Wale wasiotaka haijawaongelea. Kama hujaelewa Nenda kaisome vizuri
 
Nafahamu ndio. Hoja yangu imewaongelea wale wanaotaka kuwa na ndoa na familia. Wale wasiotaka haijawaongelea. Kama hujaelewa Nenda kaisome vizuri
Nakuelewa mkuu upo sawa sana , ila mchango wangu umelenga kwa baadhi ya michango ya wadau wako kwenye uzi .
 
Yaani nikutongoze useme No, sikutaki, hunivutii, sio type yangu nk then nikufuate tena upumbavu huo sifanyi mie kama wewe unaweza kuwa mwanaume ufanye hivyo.

Kwanza unachotakiwa kujua maisha ya sasa yamagata sana, watu hawana muda kabisa then nianze kukufutafuata wewe pia kwanza unajua Hustle anayofanya mwanaume behind mpaka siku anakutongoza wewe unaona imekuja tu automatically just munaandikaga "We meet in Mall" kumbe mwanaume ameshakuwinda mara 10 mpaka hio siku wewe unaona mme meet.
Muandiko wako wenyewe ni kiashiria
 
Jomba acha kuwaza upuuzi. Badala ya kufikiria nini kitawapata masai waliopiga askari unafikiria watu wasiojitambua? Kipindi nimemaliza form six Enzi zile za mtandao wa marafiki.com nilipanga miadi na toto moja zuri kukutana pale Njiro Complex. Yule dem alivyoniona akaniambia samahani upo kinyume na nilivyotarajia kwahiyo nisamehe sana hatuendani... AKAONDOKA... Kiukweli nilistahili kuambiwa vile kwasababu nilikuwa nimefulia balaa. Ufukara ulikuwa umeshika hatamu. Bahati nzuri dem nilikuja kusoma nae chuo kimoja. Nilimtangulia mwaka. Hadi ninavyoandika ni dem ambaye aliingia kwenye ndoa na ikamshinda. Kukosa mtoto ni sababu iliyochangia. Kwa sasa tumebaki kuwa marafiki... sasa mtu kama huyu naanzaje KUMHURUMIA?
Samahani, upon kinyume na nilivyotarajia😃. KIONGOZI, ULIPATA USINGIZI KWELI SIKU HIYO??
 
Back
Top Bottom