Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Kuvisha chupi zenye vigodoro kuongeza muonekano wa ukubwa wa makalio. Ni kweli hujui au umeona tu unisumbue mkuu?
kweli kiongozi sikua nafahamu ulichomaanisha,kama umesoma point niliyoandika pale juu ni kwamba kuna wakati wanavaa wigs ili kuwahisha mambo yaende haraka, sasa sijaona jinsi kuvaa kigodoro kitamfanya awe fasta katika shughuli zake kwahyo sitaruhusu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...jamani umenichekesha Sana.
 
Eti naulizaa, amyevaa wigi ni tofauti na anayevaa kigodoro?
Kama ni tofauti please nisaidie kutofautisha kabla sijakubaliana na wazo la bagonza "penye wigi waweza weka kigodoro"
Hakuna tofauti wote wanataka kupendeza TU...
 
Nikose tu mwanaume anayeshindwa kufanya Mambo ya kiume na kuniambia nisifanye nitakacho hanifai huyo, lazima aelewe vitu ninavofanya ni kwa sababu ni mwanamke na hormones za kike ningekuwa wakiume navaa mawigi na kujipodoa ana haki ya kunikataza
Sasa Cariha,kwani lazima uvae wigi?,Hivi ukisuka yebo huwezi kupendeza,Ukisuka kawaida huwezi kupendeza?.
 
Sasa Cariha,kwani lazima uvae wigi?,Hivi ukisuka yebo huwezi kupendeza,Ukisuka kawaida huwezi kupendeza?.
Mkuu napenda kubadili mapigo ka kinyonga nikitaka kitu nafanya nisipotaka sifanyi tena mtu akinipigia kelele naenda kununua mengi nivae vizuri, siwezi suka yeboyebo daily huwa zinachosha
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wengi wanaoaa wigi wana elimu ndogo, wanan ji feel inferior,hawajiamini.na hawana mvuto natural.
 
witnessj nawajua Sana kina Joanah na cariha Hawa viumbe nawajua in out haswa ubishi wa cariha haka kadada kabishi Sana sijawahi kuona lkn joanah yeye anauzungu mwingi hasa yale mavazi yake yananikoshaga Sana huwa hapendi kuvaa nguo nying ananiambiaga zinamkera au kwa sababu ya joto la DSM sina uhakika


Yote tisa kumi nawapa salama ziwafikie
 
Mkuu napenda kubadili mapigo ka kinyonga nikitaka kitu nafanya nisipotaka sifanyi tena mtu akinipigia kelele naenda kununua mengi nivae vizuri, siwezi suka yeboyebo daily huwa zinachosha
Duh!!!!,Umeolewa ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ubishi nao ni kipaji ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…