Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

wigi original sh.ngapi?
 
Hahaaa naweza tu mbona kuishi mwenyewe bila yoyote mimi
Huo sio utaratibu wa maisha,binadamu tunaishi wawili wawili,huoni hata ndege angani wanatembea wawili wawili, Me na Ke?,Lazima upate wa kukuliwaza na kukupoza.
 
Huo sio utaratibu wa maisha,binadamu tunaishi wawili wawili,huoni hata ndege angani wanatembea wawili wawili, Me na Ke?,Lazima upate wa kukuliwaza na kukupoza.
Mimi naweza kujipoza mwenyewe,na hivi sitegemei furaha yangu kwa watu naishi kwa Raha mno moyoni Mimi, ctaki mazoea na watu
 
Mmenichekesha sana wadau!!!! hivi zile wigi zilizokuwa kama manyoya ya jogoo zilipotelea wapi?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…