Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

Sijui una tatizo au Mimi sielewi? Unasema Ni nafuu weka tofauti zao tuone Kama kweli wako nafuu kuliko hao uliowataja
Ipo hivi kwa elfu moja
ttcl napata GB 1.2 wakati voda napata MB 550
 
Waambie hao wanahisi me nimetumwa kumbe naongea ukweli yani kwa sasa nafurahia GB 1.2 kwa buku tu wakati voda na wengine hadi uwe na buku 2
Umeambiwa uweje menu imeshindwa unataka nani akuamini?
 

Kwa mikoani kac ikoje? Na kwa vijijini je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ