Nawapongeza wasabato kwa kanisa lao kutovuma kwa skendo na drama

Wale waliotaka kwenda ulaya kububiri bila passport wala nauli ni wa wapi wale
aisee umenikumbusha mbali nimecheka sana

ile ishu wale jamaa walifanya maamuzi yao binafsi bila kibali wala ruhusa ya kanisa.
 
dini moja Ina vikorombwezo kibao kilamtu anashika hamsini zake. Mimi naiona Kama dini ya wababa ishajitu
 
*Katoliki siyo Catoric. Kwanini mnafanya haya makosa?
Naona kama nchi kuna tatizo kubwa sana kwenye elimu ya kuandika..am shocked mana ni kiswahili

L na r
H na u
T na d
Yanii huwa natamani kusahihisha ila inachosha
Ni wengi

Namna hii eloquence kwenye Kiingereza itatoka wapi

Mtu akikosea kuandika maneno hasa Kiswahili kwangu anavuta picha ya mtu asiye makini
English naweza nisiwalaumu sana
 
Huwa ninakereka. Mtu anakuambia kwenye "Valerian" hajui iwapo inaandikwa L au R. Dah!
 
Kafanye research kwa single mama afu uje hapa na tuendelee kujadiliana
 
Aisee umetoa wapi hii maneno?

Jamaa ni hatati, wanagongeana wao kwa wao ile balaa
 
Amia huko unasubiri nn mtu Hali nyma ila anakula sambuza
 
Bado hayatoshelezi kbsa kwanin mnanawishana mikono,,?
 
dini moja Ina vikorombwezo kibao kilamtu anashika hamsini zake. Mimi naiona Kama dini ya wababa ishajitu
Mzee unahangaika sana JF nzima unaonekana kila kona ukikata viuno!!!

Nikwambie tu ukweli,kama siyo duniani kuwepo Ukristo basi ningekuwa atheist kuliko huko unakokupigia debe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…