ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Akili za masikini bana.........Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganusha na klabu za ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba
Nilitaka kumwambia ivo ivo yaani 🤣Tatizo lako unaishi uswahilini na unadhani nchi nzima ipo km kulivyo uswahilini, wenzako wanaishi masaki a.k.a uzunguni barabara zote zina lami maji na umeme havikatiki kwa masaa 24
Kwenda England ulifikia wapi ukitokea nchi gani ? Safari ni masaa mangapi na gharama ulitumia kiasi gani?England niliposhuka tu kwenye ndege nilijiona kama nimeingia peponi
Masikini mwingine ni wewe ulieumia mpaka ukakomenti kwenye hii nyuziAkili za masikini bana.........
Wao fursa zao zipo hapa.....
Ukiwa na pesa Tanzania unaishi maisha ya anasa kuliko ulaya.
Mo na Bakresa Tz ni miungu watu.
Wakienda ulaya wanageuka ushuzi tu
Nimependa number 9 umekaa vizuri iwish nukuone.Nyani mbona hasira sana
Najua huna marinda sababu uliyatoa Ili upate pesa na pesa huna umebaki na tobo kubwaaa hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilitokea mbinguni nikafika Kwa dakika 1 gharama ilikua bureKwenda England ulitokea nchi gani ? Safari ni masaa mangapi na gharama ulitumia kiasi gani?
Mimi sio masikini masikini wana nafuu mimi ni Hohehahe.Masikini mwingine ni wewe ulieumia mpaka ukakomenti kwenye hii nyuzi
Hahahahahahahaha marina huna Sasa tatizo maana uliyaweka rehani mwenyewe kisa pesaaa🤣🤣🤣🤣Naihitaji Kiwanja cha miguu 13x13 Kibaha, Pwani
Kama kichwa Cha habari kinavyosema Naihitaji Kiwanja miguu 13x13 ya hatua kubwa kibaha jaribu na barabarani bahitaji pia nijue ni bei gani nipo serious wadauwww.jamiiforums.com
Tajiri unaeishi ulaya unatafuta kiwanja cha miguu 13 kwa 13. tajiri unatuaibisha sana
We jamaa hapa bongo kuna mitaa watu wanaishi maisha walioko Ulaya wakasome.Pesa nyingi halafu unaishi tanzania ni uboya
Ukapimwe akili na malariaWe jamaa hapa bongo kuna mitaa watu wanaishi maisha walioko Ulaya wakasome.
Kama ukiwa mkubwa hunyi basi hongera unastahili kutobishashana na mdogo ila kama unakunywa wewe ni boya tuMambo ya jf bhana...... unaweza ukajikuta unabishana na mtoto wa sekondari anayetumia WiFi ya bure nyumbani huku amelala kwenye Kochi.....
Btw
Mimi nadhani ni machaguo kwenye maisha....kama ambavyo wewe umeona haifai ndio wao wameona inafaa kuishi Tanzania.....
Kama ambavyo kuna watu wenye ukwasi mkubwa huko mikoani lakini hawana shauku ya kuja kuishi Dar es salaam ambayo kwa wengine wanaiona kama New York..........
Maisha ndivyo yalivyo......
Vipi mbona kama umedata unanijazia comment tu au unanjaa asubuhi hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kabla ya kukomenti someni threads zake huyu ni mental disorder
Kachanganikiwa
Hizi mada uwe unadanganya watoto wenzako huko kijiweni kuwa umewahi kufika europeNilitokea mbinguni nikafika Kwa dakika 1 gharama ilikua bure