Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

Unacha kuwashangaa wanaosababisha vikwazo unawashangaa wachekaji? Wewe zuzu ee?
 
But everything shall be solved very soon trust me,
Mahusiano ya kinchi,siyo sawa na ugomvi wa Juma na zuberi.
Maelekezo ya kusolve si walishayasema? Kuacha Utekaji ,kuruhsu demokrasia ,kuwaachia wafungwa wa kisiasa wenye kesi za mchongo etc Msipofanya hayo hakuna kukaa chini na kusolve tutaendelea kunyimwa misaada tu.
 

Why usiwashangae waliosababisha mpaka inchi imepata vikwazo?
 
Mbona mnababaika sana. Nyie si ndio mlienda urusi mkatuhakikishia nchi haina vikwazo au mlienda kushangaa yale mataa ya pale St Petersburg!๐Ÿ˜‚ Uongo Haudumu dogo Mnahangaika sana kuhadaa wananchi.vipi na zile dhahabu mnasema hamkuuza Je Mliziweka bondi?๐Ÿ˜‚
 
Umewahi kujiuliza wananchi wanapitia maswaibu gani(hata kama wewe hayakugusi) mpaka wafurahie vikwazo au unadhani wewe ndiyo una akili na uelewa zaidi ya hao wanaofurahia vikwazo.
Je umewahi kujiuliza kwanini huyo rais wenu ametufikisha huko, kisa tu uroho wa madaraka na kuogopa fairness kwenye uchaguzi ili hata wapinzani wa kweli nao washiriki?
If it takes sanctions to make things right so be it.
 
Je wakati mkihamasisha ukandamizaji wa watanzania kwa matabaka yao na kupora chaguzi kienyeji simlijiona mabingwa?
 
HIzo hela hata haizwasaidii wanachi mnazitumia kununulia silaha za moto ili muwauwe wananchi.
 
Vp; bro. Ni Taifa letu au ni Taifa hili .....na hivi hakuna adhabu nyingine ila ni kupigwa mawe tu??
 
Jibu swali hili ili nione kama una tatizo la afya ya akili au hauna
Aliyesababisha vikwazo na anayeshangilia vikwazo ni nani mwenye tatizo la afya ya akili
 
Je wakati mkihamasisha ukandamizaji wa watanzania kwa matabaka yao na kupora chaguzi kienyeji simlijiona mabingwa?
Can't last longer,diplomasia ya wataalamu wetu italikwamua hili haraka sana.,stay tune
 
Hujawahi kufika Zimbabwe wewee wala North Korea. Sema unasoma habari zao kwenye Internet tu huku umening'iniza poumbou sofani hapo lounge za Lumumba
 
Hujawahi kufika Zimbabwe wewee wala North Korea. Sema unasoma habari zao kwenye Internet tu huku umening'iniza poumbou sofani hapo lounge za Lumumba
Ha ha ha ,busu la kenge!,...tembea uone mambo,achana na zungusha zungusha mkono piiipooo -pawaaaa!๐Ÿ˜Š
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
TUnafurqhia na huna la kutufanya.

Anaeathirika ni mwananchi mimi wa chini, lakini ugumu wa maisha utaongezeka na kufanya wananchi kukosa imani zaidi kwa serikali yao isiowajibika.

Kitakachofata ni mageuzi ya kisiasa.

Kutapambazuka tu
 
Mkuu,

Kuna watu sasa hivi wanaishi kama nchi ipo kwenye vikwazo tayari.

Na hivyo hawajali kama nchi itawekewa vikwazo. Hususan kama hilo linaweza kusaidia kuweka mambo sawa.

Unaelewa hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ