Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

Picha linaanza marufuku kutumia iphone aisee noma sana
 
Mkuu,

Kuna watu sasa hivi wanaishi kama nchi ipo kwenye vikwazo tayari.

Na hivyo hawajali kama nchi itawekewa vikwazo. Hususan kama hilo linaweza kusaidia kuweka mambo sawa.

Unaelewa hilo?
Hata amerika kuna wanaolala nje kabisa!...hawana hata sehemu ya kujistiri na ni wamarekani halisi.
 
Unafanya upumbavu alafu uje utegemee huruma!!?
Vikwazo hua vinaombwa!!?
Vikwazo ni njia ya kuwajibishwa kwa kwenda kinyume na kanuni za dunia inavotaka.
Sasa wewe uue raia utegemee kuchekewa!!?
 
Acha upotoshaji kwa maslahi ya tumbo lako, vikwazo vinavotajiwa vitawafikia pia nyie wanyonya damu

Je unajua maana ya "individual targeted sanctions"?
Tena wamesema wazi kabisa "among government officials and Chama Cha Mapinduzi ...".
 
Kampige mawe mama yako!
 
Can't last longer,diplomasia ya wataalamu wetu italikwamua hili haraka sana.,stay tune
Ikiwa diplomasia ni ile ya ukandamizaji na ten per huo ni mnaso na hakuna kujikwamua ila kujibana kwa corner zaidi.
 
Tuko tayari kwa vikwazo vya magharibi. Hapo ndio sehemu ya kuwadhibitishia watu wasioamini kuwa tuna raslimali. Na uzuri hizo raslimali zetu tutauza Russia na China. Kila siku huwa mnaleta kiburi cha kupora chaguzi huku mkisema tuna raslimali, tuna marafiki wa Asia na upuuzi wa aina hiyo. Sasa mtaonyesha hizo raslimali tulizonazo hadi tuonewe wivu.
 
Sasa ndo mmeamua kuwamaliza kabisa hao vijana na ndugu zenu kule vijijini kwa vikwazo mlivyoomba
Tena tunaona kama vikwazo vinachelewa. Huu ndio muda wa kuwaamsha wananchi mnaowaongopea kuwa tuna raslimali hadi tunaoenewa wivu. Tutakapowaambia wananchi wanateseka ili majizi ya ccm yakae madarakani wote wataingia barabarani yakiitishwa maandamano. Mnalazimisha kukaa madarakani kwa kuua wananchi, kisha mnataka tuwasujudie nyie akili ndogo, wakati wananchi hawawataki.
 
We pumbu mmeamza kutoa mlio kabla dawa haijawaingia ๐Ÿคฃ
 
Itakuwa lini hiyo?
Na wewe utakuwepo?
 
Tukiwekewa vikwazo na serikali ikashindwa kupata mbadala nadhani kabla upinzani haujafikiwa na madhara ya vikwazo, chama tawala kitakuwa na kazi ngumu mno ya kutuliza nchi.
 
Si muuze zile raslimali kwa China na Russia mnazohadaa kuwa tunazo? Ama kwenye ukweli uongo hujitenga?
Mechi inakwisha hii,very soon,stay watching....
--------

Jiulize Mwenyewe Hiyo Euro Milioni 156 Sawa na Tsh. Bilioni 440 Ndio Zakuitishia Nchi Kama Tanzania Iliyokuwa Kwenye Uchumi Wa Kati?

Mwaka 2018 Denmark ilisitisha ufadhili wa TSH 100bilions kwa serikali ya Tanzania, 2018 UK ilisitisha Tsh 160bilioni sekta ya elimu, 2018 EU ilisitisha 64 billions na 2018 Finland Tsh 40Bilions kwa serikali ya Tanzania wakituhumu kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa demokrasia nchini kwetu lakini bado Dkt Magufuli na Prof wa Siasa Dkt. Samia Suluhu Hassan hakujali bali ndo tulisonga mbele zaidi.

In every success changamoto is inevitable.
 
Ilikuaje Nyerere akangatuka

CCM haijifunzi kwa makosa ya sactions za miaka ile, ldo ni marudio, same regime.
Regime hii ni kiziwi na haijifunzi kwa makosa
 
Wao akili yao inawatuma kuwa vikwazo ni kwa ajili yq kumkomoa Samia
Ukifakari mkombozi wa nchi za africa hakuheshimika kwa kiwango cha mfungwa (Mandela) utajifunzq democracy, wisdom and humanity.

Mtu anaua alafu abeza maiti na wafiwa. Hana any remorse kabisa. Sanction zinaweza zisimuathiri ila ni pigo la kwanza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ