Mnapewa misaada tena na mabeberu badala ya kuuza zile raslimali mnazosema tunazo hadi wanatuonea wivu?Leo hii
Tindo
Game changer kwa vizabina zabina!
Sigonella Island
Tsh
G Sam
Kimbori
View attachment 3611388
Hiyo B440 kweli siyo kubwa but it's just a tip of an iceberg, kuna mzigo siyo wa kitoto utafuata.Mechi inakwisha hii,very soon,stay watching....
--------
Jiulize Mwenyewe Hiyo Euro Milioni 156 Sawa na Tsh. Bilioni 440 Ndio Zakuitishia Nchi Kama Tanzania Iliyokuwa Kwenye Uchumi Wa Kati?
Mwaka 2018 Denmark ilisitisha ufadhili wa TSH 100bilions kwa serikali ya Tanzania, 2018 UK ilisitisha Tsh 160bilioni sekta ya elimu, 2018 EU ilisitisha 64 billions na 2018 Finland Tsh 40Bilions kwa serikali ya Tanzania wakituhumu kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa demokrasia nchini kwetu lakini bado Dkt Magufuli na Prof wa Siasa Dkt. Samia Suluhu Hassan hakujali bali ndo tulisonga mbele zaidi.
In every success changamoto is inevitable.
Bado hamjasema!Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
Vikwazo vinasbabishwa na nini hapa kwetu?Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
Kweli CHADEMA kuna mafunzo maalum ya matusi. Hata wewe!Ndio, nitakuwepo tukiuza zile raslimali za nchi mnazosema tunazo. Makhanithi wakubwa nyie.
Badala ya kulaumu wanaotamani vikwazo, ni bora zaidi kujiuliza kwanini hasa viongozi wametufikisha hapa! Na nini kifanyike kututoa hapa!Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
Yaani baba mlevi kila siku akirudi kutoka kazini anakuwa amelewa chakari na kuanza kumpiga mama na watoto halafu siku ikatokea huyo baba anafukuzwa kazi unataka watoto wasishangilie kweli!!!!????Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
Exactly.Vikwazo huwaleta Raia pamoja. Hofu ya Watawala ni Raia kuungana.
Tuwe wakweli.Matatizo ya akili.
Hivi mtu ambaye akili zake kamkabidhi Mange Kimambi unadhani ana akili kichwani!!
Hawezi kukuelewa sababu amejitoa ufahamu.Mkuu,
Kuna watu sasa hivi wanaishi kama nchi ipo kwenye vikwazo tayari.
Na hivyo hawajali kama nchi itawekewa vikwazo. Hususan kama hilo linaweza kusaidia kuweka mambo sawa.
Unaelewa hilo?
Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
Kwani hao wanaokuwekea vikwazo wanafanya nini cha ajabu? In short they tell you, Live your life, we live ours! Kwisha. Wale wanakijiji wa mlimba au malinyi wala hawataona impact maana wao wanaishi kwa “nature”. What is important for them is Salt, river water and land.Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili.
Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa mabiashara yote makubwa ni yake ikiwemo Champions food.
20yrs ago wananchi walifurahia kampeni ya upinzani kuhusu vikwazo. Baadae likawa tanuri la upinzani wakiona wameingizwa chaka.
Wanafunga siku10 kila mwaka wanaita United against Sanctions. Mpinzani ukiomba vikwazo unapigwa mawe.
Nilifika Korea Kaskazini wananchi wapo kwenye vikwazo viongozi waandamizi wa serikali ya kikomunist wanaishi kifahari zaidi magari ya kifahari n.k.
Nchi zote Zenye Vikwazo Sanctions Duniani hata upinzani kufanya siasa ni kitu kigumu sana. Tanzania ina wanasiasa wasiojitambua elimu ndogo na hawajifunzi kutoka nchi nyingine.
N.B,VIKWAZO RASMI BADO HAVIJAWEKWA KWA TAIFA LETU,KILICHOPO NI MAPENDEKEZO TU.......
--BADO HATUA YA KULIPIGIA KURA NDIPO LIFANYE KAZI RASMI.
::Ufafanuzi rasmi,View attachment 3611173View attachment 3611315
Pongezi kwa EU maana hata kwenye suala la kulaani matukio ya kijinai ya oct 29 hawakukaa kimya.Leo hii
Tindo
Game changer kwa vizabina zabina!
Sigonella Island
Tsh
G Sam
Kimbori
View attachment 3611388