Uchaguzi 2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

Lisu ni sawa na mwanamke anayetoa nje siri ya ndani ya nyumba.. Ameichafua sana nchi huko Ulaya na Marekani, hovyo kabisa, haifai hata kuwa balozi wa nyumba 10!!
Tanzania kuna kitu gani cha kuficha Mkuu, watu wakitaka data wanapata tu, au hujui jinsi wachina wanavodukua data kwa kinara wa dunia marekani pamoja na ujanja wao wote sembuse sisi bongo
 
TL 2020 hana mpinzani
 
Tanzania kuna kitu gani cha kuficha Mkuu, watu wakitaka data wanapata tu, au hujui jinsi wachina wanavodukua data kwa kinara wa dunia marekani pamoja na ujanja wao wote sembuse sisi bongo
sisi tuko peace hatuna cha kuficha mambo yetu JPM kayaweka kwenye mstari mpaka wanabloo
 
Maendeleo gani yaliyofanywa na CCM??? Kuharibu biashara za mazao kama korosho na mbaazi??? Kuharibu uchumi wa nchi na kutengeneza majobless??!
 
Piga kelele kwa Magufuli wakeeeeeeeee
 
Ushoga haupo acha uongo CCM wakienda ulaya hupiga magoti kuomba omba misaada na huwaita wazungu ni wahisani wafadhili, lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga unyanyasaji wao hukimbilia kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM wao ni mbuzi jike
 
Ni kwamba Magufuli ndio hawezi siasa za ushindani, wakati wa kina Mtikila maneno yalikuwa makali kuliko hayo. Hiyo ndio siasa boss.
Hayajazoeleka awamu hii mkuu
 
Maccm yakiona hii hotuba yatatamani yajinyonge...!!
T2020TAL hakuna namna ya kumzuia kushinda, japokuwa mafciem yanajiamini!
Ukweli ni kwamba kilichotokea kwenye uchaguzi wa TLS 2017 kitajirudia tena!!
Magufuli lazima ashinde, je upinzani tumejiandaaje kumlinda Tundu lisu kwa miaka mitano ijayo, akiwa hana nafasi yoyote serikalini ?
 
Kwa Mara ya kwanza kuona wapinzani wakipinga maendeleo hadharani yani mtu anaeitwa wakili msomi anasema eti ukisema umejenga bwawa na kidatu je mh yani hizi ndo sera za wapinzani ni mpuuzi pekee atakaewapigia kura kwa sera za namna hii

Nikimuangalia Lissu sasa hv si Lissu yule mwenye kujenga hoja si lissu yule wa Richmond si Lissu yule aliekuwa tunamfahamu
 
Tatizo ccm wanamtegemea zaid jiwe,kwa hiyo anachofanya lisu ni kumdhoofisha kabla ya kampein ili wakose cha kuongea! Inabidi ssm ijipange vizuri kujibu,pia wawe na watu waelewa wenye nguvu za kujibu,..wakiendelea kuwatumia akina chabunga na mwanaharakati huru wasio na uzoef wa majukwaa watazidi kuharibu kabisa
 
Tatizo ccm wanamtegemea zaid jiwe,kwa hiyo anachofanya lisu ni kumdhoofisha kabla ya kampein ili wakose cha kuongea!
Kamati kuu ya CCM inaenda kuvurunda zaidi kwa kuwachuja wagombea ubunge kwa hila fitna majungu ya kutengeneza wakati wagombea wa kura za maoni wote walitoa Rushwa hakuna CCM hakutoa Rushwa, badala warudie upya uchaguzi wote wanaenda kufanya uonevu kwa baadhi yao kuwakata majina yao, hapo ndipo waliokatwa watafanya yao na chadema kuingia ikulu kiulaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…