Uchaguzi 2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

Lisu ni sawa na mwanamke anayetoa nje siri ya ndani ya nyumba.. Ameichafua sana nchi huko Ulaya na Marekani, hovyo kabisa, haifai hata kuwa balozi wa nyumba 10!!
Hapa ndipo shida ilipoanzia, mtu kudhani nchi ni sawa na nyumba yake na wananchi ni kama wake zake ni uendawazimu!
Lissu kabla ya kushambuliwa alitumia haki yake ya kikatiba kueleza mapungufu ya serikali ya awamu hii, walipoona anawakera wakaamua kumnyamazisha milele ila ukuu wa Mungu ukatamalaki!
Acheni upuuzi, mlipoomba ridhaa kuongoza ilipaswa mjiandae kisaikolojia sio kutegemea kila mtu awaunge mkono na kuwalamba viatu!
 
Hahaa na ile SGR hazita dumu sio..? Vipi kuhusu mradi wa kufua umeme, barabara, Corona, Ikulu ya chamwino, Terminal 3, Zile ndege n.k vyote havitadumu...?

Acheni wenge kashafanya vinavyoonekana na uzuri watanzania tumeviona ...

Bado tunamuamini JPM
 
Mkuu ushtuki tril 40 mkopo
 
Lisu ni sawa na mwanamke anayetoa nje siri ya ndani ya nyumba.. Ameichafua sana nchi huko Ulaya na Marekani, hovyo kabisa, haifai hata kuwa balozi wa nyumba 10!!
Ushamba ni mzigo... wewe unadhani Ulaya na Marekani hawajui kinachoendelea hapa Tanzania
 
Kwani hiyo ndiyo ilani ya uchaguzi ya CHADEMA?? Hivi kwa akili yako unadhani watanzani ni wajinga kiasi gani kumchagua huyo mropokaji?
Tulia wewe mchawi wa kutumia fisi,kama hujamuelewa rudia kumsikiliza ,usikurupuke kujikomba kwa watawala.
 
Mkuu ushtuki tril 40 mkopo
Hakuna kipya,,, kama mabeberu Lis ndo mkumbatia mabeberu mkubwa....

Si huyu huyu aliyeogopa kushtakiwa na mabeberu kisa JPM kavunja mikataba yao mibovu,,, ni Tundu huyuhuyu aliesema JPM corona itamshinda na soon maiti zitazagaa TZ leo kaja kaona hata barakoa hatuvai sasa nmpe vipi kura yangu mtu kama huyu asie na uchungu na Tanzania yake asie na uzalendo na nchi yake

Bora nmpe JPM kura yangu ana maono na Tanzania anafanya kutoka moyon kabisa kuibadilisha nchi

Bado tunamuamini JPM
 
Hayo ni machache na tena amejizuia sana,hapo anayasema anayoyafahamu.Likija suala LA wakati wa kampeni nadhani CCM watajificha au watawakamata/kuteka Watanzania wengi sana kwa madudu yatakayoibuliwa dhidi yao.
 
Hakuna mgombea Urais hapo Bali Kuna mchafuzi wa Hali ya hewa tu.

Lisu kwa kuadmit kuwa hatupaswi kuondokana na manyanyaso ya mataifa makubwa ni ushahidi mwingine kuwa mataifa hayo yamemtuma kuwasafisha kwenye jamii yetu. Lisu katumwa na mabeberu. The guy is a threat to our national security.
 
Subiri campaign.
Usiwatege ni wajanja sana
 
Kwani hiyo ndiyo ilani ya uchaguzi ya CHADEMA?? Hivi kwa akili yako unadhani watanzani ni wajinga kiasi gani kumchagua huyo mropokaji?
Tatizo lenu mnataka majibu ya mkato kwa mambo magumu.Aliahidi akipona atakuja kutueleza simulizi(He Survived to Tell the Tale),subirini wakati ukifika mtaelezwa yote.Ndipo mtakapofahamu kuwa ubaya haulipi kamwe.
Kila Mara mnatamka kuwa alijishambulia mwenyewe,Mara alishambuliwa na watu wasiojulikana ilhali wanajulikana.Subirini kipenga kikipigwa maana trailer tu mnapagawa,je ikianza picha yenyewe mtatoroka ukumbini au mtavunja screen?
 
Nadhani ww ni shahidi wa uhuru waliokuwa wanagombania unaowaita wapigania uhuru wa SA leo SA imekuwa nchi ya ajabu kabisa ukiangalia uchumi ulivyokuwa kabla ya hao unaowaita wapigania uhuru hawajaingia madarakani ni tofauti sana na ilivyo sasa kingine ni uhuru gani unautaka upewe unataka uhuru wa kutukana mitandaoni ? Nitajie nchi moja tu duniani ambayo inadhani inauhuru wa mwanachi kufanya chochote anachojisikia ? Acheni propaganda za kijinga kuwadanganya mtawaletea sijui uhuru leo Chama kinachoitwa cha Democracy hakuna hyo Democracy moja ya sifa ya Democracy ni smooth transition of power je chadema ipo hyo?
 
Semea nafsi yako wewe zwazwa
Kwani hiyo ndiyo ilani ya uchaguzi ya CHADEMA?? Hivi kwa akili yako unadhani watanzani ni wajinga kiasi gani kumchagua huyo mropokaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…