Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Hapa ndipo shida ilipoanzia, mtu kudhani nchi ni sawa na nyumba yake na wananchi ni kama wake zake ni uendawazimu!Lisu ni sawa na mwanamke anayetoa nje siri ya ndani ya nyumba.. Ameichafua sana nchi huko Ulaya na Marekani, hovyo kabisa, haifai hata kuwa balozi wa nyumba 10!!
Lissu kabla ya kushambuliwa alitumia haki yake ya kikatiba kueleza mapungufu ya serikali ya awamu hii, walipoona anawakera wakaamua kumnyamazisha milele ila ukuu wa Mungu ukatamalaki!
Acheni upuuzi, mlipoomba ridhaa kuongoza ilipaswa mjiandae kisaikolojia sio kutegemea kila mtu awaunge mkono na kuwalamba viatu!