Nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela halafu shabikieni mpira achaneni na mambo ya siasa

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
 
Kwahiyo unawashauri vijana waisusie nchi yao wahamie mpirani kwenye Simba na Yanga? Hakuna kitu sisiem wanainjoi kama hicho.

Btw, hao mafisadi waliopo siku wakifikia mwisho wao wakajikatia moto nchi itaongozwa na TFF?
 
Kwahiyo unawashauri vijana waisusie nchi yao wahamie mpirani kwenye Simba na Yanga? Hakuna kitu sisiem wanainjoi kama hicho.

Btw, hao mafisadi waliopo siku wakifikia mwisho wao wakajikatia moto nchi itaongozwa na TFF?
Bora ccm kuliko hao wanaoigiza upinzani kupoteza vijana mda kumbe matapeli
 
Huna point. Tuache siasa nchi iuzwe na wajinga
 
Siasa lazima tufuatilie. Wewe tafuta hela na kushabikia Mpira tusipangiane chakufanya
Unamsongo wa mawazo wa umasikini Mimi sijapangia mtu nimesema nawashauri vijana na wewe sio kijana ni mzee ambae hata banda la kulala huna wenzio wakiendesha V8 Sasa nashangaa unatoa povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…