Mpira sio maisha wala hauna maamuzi yoyote kuhusu maisha ya binadamu. Siasa ni maisha kuanzia unapoamka mpaka unapolala.
Mwanafalsafa wa kigiriki Aristotle aliwai sema kuwa " human being is a political animal by nature". Hii ni kutokana na kutojitosheleza mwenyewe yaani ni self insufficient anahitaji kuijaamiana na wengine ili maisha yaende na hii ndio siasa.
Hata wewe unachofanya kuwapanga watu kila siku sijui umasikini etc ni siasa ili ujitosheleze. Kwahiyo siasa itajadiliwa milele yote na itafanywa milele yote bila kukoma sababu ndio maisha ya watu na ndio inaongozwa ulimwengu wote sio mpira.