Nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela halafu shabikieni mpira achaneni na mambo ya siasa

Je wajua kuna watu wanao zaliwa kinyume na maumbile ya mama zao?
We
Punguza ujinga chief siasa uifanye husiifanye matokeo yake hayakwepeki ndio maana umekuja kuizungumzia hapa, imekuwa designed ili kulinda nature, mpira umekuwa deigned ili kusaidia siasa itawale zaidi

Kulingana na Aristotle hata wewe unachofanya kama kuanzisha kanisa la mipesa ni siasa, Sasa wewe kwakuwa unachofanya ni siasa pia. Kwa nadharia hii nikuulize umenufaika vipi na aina ya siasa unayoifanya?.
Kweli Mimi ni mjinga sababu sipati pesa kwenye siasa ila mtu akiwa ccm nampongeza sana sababu atavuna utajiri wa milele
 
CHADEMA ni chama kizuri lakini ina mamluki na wasaliti wengi sina imani na viongozi waliopo hawana changamoto yoyot
 
Siasa ni kila kitu, siasa inaanzia kwenye level ya familia hadi Taifa, bila siasa hakuna maisha.
Kwahiyo vijana wanayo fursa kubwa sana tena ya lazima kushiriki kwenye siasa.
 
We

Kweli Mimi ni mjinga sababu sipati pesa kwenye siasa ila mtu akiwa ccm nampongeza sana sababu atavuna utajiri wa milele
Hufanyi siasa wapi wewe nawe?, Unafikir kufanya siasa ni kuwa ccm na chadema tu?.
Mwanafalsafa mmoja akasema siasa ni Sanaa ya uwezekano "art of possible"

Kitendo cha kuwatoza watu laki moja ili wajiunge kwenye kanisa la mihela wakapate hela hiyo ndio siasa, kufanya uwezekano hata kama ni uongo kama unavyofanya.
 
Gazeti lefu limejaa pumba rudia kusoma ulichoandika utagundua huna akili
 
Siasa ni kila kitu, siasa inaanzia kwenye level ya familia hadi Taifa, bila siasa hakuna maisha.
Kwahiyo vijana wanayo fursa kubwa sana tena ya lazima kushiriki kwenye siasa.
Unajua ulichokiandika lakini au unafuata mkumbo nikuulize swali
 
Gazeti lefu limejaa pumba rudia kusoma ulichoandika utagundua huna akili
Nasemaje hicho unachofanya mtu kutoa laki ili ajiunge na kanisa lako la mihela hiyo ni siasa sababu unatumia sanaa ya siasa kulazimisha uwezekano. Mbona unakwepa ukweli?.
 
Nahisi umechanganyikiwa na umasikini maana unachoongea hakieleweki sikujibu tena napoteza mda kumbe kuongea na kichaa
 
Dogo huto tumilioni 200 ulitonato ndo unatuletea fujo Wajomba zako tuna Bonds za B+ na tumetulia tu
 
Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Siasa ndio maisha...
 
Wewe mjinga hizi takataka zako slziishie huko huko instagram
P.wahed
 
Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Kwenye siasa usipokuwa na hela jiandae kutumikishwa kuweka.mstari wa mbele.

Ukiingia kwenye siasa hakikisha utanufaika Kwa hela sio kuimbishwa people's power harafu you gain nothing
 
Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Ushauri mbovu. Mkitawaliwa na watoto wa akina Makamba,Kikwete, Samia, Mwinyi, Kigoda, Nchimbi,Nnauye, Kawawa, Malima na wengine mnaanza kulalamika wakati wao waliwaelekeza vijana wao kwenye siasa wakijua kuna ulaji wa bure na pesa bwerere?
 
Back
Top Bottom