Nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela halafu shabikieni mpira achaneni na mambo ya siasa

Nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela halafu shabikieni mpira achaneni na mambo ya siasa

Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Mpumbavu,mwandamizi we we.huna aibu
 
Wewe ambae ni kitumbua endelea kutumika na makamanda
Kweli MTU na akili.zako timamu unawaambia vijana wasifuatilie siasa seriously?? Kuna watu maboya sana.

Siasa ni ajira
Siasa ni maendeleo
Siasa. Ni huduma za. Kijamii.
Siasa ni ustawi wa taifa.
Siasa ni uchumi.
Siasa ni ulimzi wa rasilimali za taifa.
Siasa ni usa lama raia na Mali zoo
 
Siasa inaamua hata ilo bata ule mwisho saa ngapi na siku gani, yaani siasa ndio inatawala. Viongozi wooote wa nchi ni zao la siasa, wanakupangia tozo na unalipa hivyo siasa ni maisha, huwezi ukajitenga na siasa.
 
Mpira sio maisha wala hauna maamuzi yoyote kuhusu maisha ya binadamu. Siasa ni maisha kuanzia unapoamka mpaka unapolala.

Mwanafalsafa wa kigiriki Aristotle aliwai sema kuwa " human being is a political animal by nature". Hii ni kutokana na kutojitosheleza mwenyewe yaani ni self insufficient anahitaji kuijaamiana na wengine ili maisha yaende na hii ndio siasa.

Hata wewe unachofanya kuwapanga watu kila siku sijui umasikini etc ni siasa ili ujitosheleze. Kwahiyo siasa itajadiliwa milele yote na itafanywa milele yote bila kukoma sababu ndio maisha ya watu na ndio inaongozwa ulimwengu wote sio mpira.
Unatupa almasi kwenye banda la nguruwe, huyo ni mjinga.
 
Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
TAjiri afadhali nmekuona ukifa huozi wewe n8 chuma
 
Kwahiyo unawashauri vijana waisusie nchi yao wahamie mpirani kwenye Simba na Yanga? Hakuna kitu sisiem wanainjoi kama hicho.

Btw, hao mafisadi waliopo siku wakifikia mwisho wao wakajikatia moto nchi itaongozwa na TFF?
UKiwa tajiri lazima uwe tahira kidogo
 
Mdogo wangu goodlove wewe ni mpumbavu unadhani humu kuna wapumbavu wenzako mimi wewe huna cha kunishauri si kielimu si kifedha wewe kwangu ni takataka.
 
Dogo hauna exposure, hauna elimu, hauna pesa na hakuna kitu unajua acha L***mi aendelee kukupaka mafuta hayo makalio mda siyo mrefu utajaa kwenye mfumo lile la Mtoto Dodoma bado kidogo huo upande uliochagua mambo yakiwa magumu Huwa wanakimbia nchi na wenye nchi tukiamua letu likizo futi sita. Tumia pumzi uliyopewa na uhuru wako vizuri. Unamfahamu Sabaya???
Tuliza kinyeo icho.
 
Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Sasa Kwa mtazamo wako Tanzania nzima vijana wakianza kushabikia mpira wakaachana na siasa unazanii baada ya miaka 10 nchi itaongozwa na nan?
 
Back
Top Bottom