Ccm imebeba takataka za kila aina ;Unakuta hadi wewe mwanachama wao😁😁😁Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Huyo bwege anadhani JF ni kama instagram au facebookSiasa lazima tufuatilie. Wewe tafuta hela na kushabikia Mpira tusipangiane chakufanya
Wewe ni Moja ya takataka ya ccm sababu unaongozwa na CCMCcm imebeba takataka za kila aina ;Unakuta hadi wewe mwanachama wao😁😁😁
Wewe pia ni bwege sababu unaongozwa na CCM hata wakisema umale. Saa 7 mchana unalala na hakuna kitu utafanyaHuyo bwege anadhani JF ni kama instagram au facebook
Kama Yakopointless
Hapa unafanya siasaKatika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Kumbe ccm wanaongoza hadi BahamasWewe pia ni bwege sababu unaongozwa na CCM hata wakisema umale. Saa 7 mchana unalala na hakuna kitu utafanya
Ndio maana nikasema umechanganyikiwaKumbe ccm wanaongoza hadi Bahamas
Tangia ufanye siasa umepata faida Gani?Mpira sio maisha wala hauna maamuzi yoyote kuhusu maisha ya binadamu. Siasa ni maisha kuanzia unapoamka mpaka unapolala.
Mwanafalsafa wa kigiriki Aristotle aliwai sema kuwa " human being is a political animal by nature". Hii ni kutokana na kutojitosheleza mwenyewe yaani ni self insufficient anahitaji kuijaamiana na wengine ili maisha yaende na hii ndio siasa.
Hata wewe unachofanya kuwapanga watu kila siku sijui umasikini etc ni siasa ili ujitosheleze. Kwahiyo siasa itajadiliwa milele yote na itafanywa milele yote bila kukoma sababu ndio maisha ya watu na ndio inaongozwa ulimwengu wote sio mpira.
bila ya siasa hata huo mpira hutoshabikiaKatika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Kwenye jumuiya yetu tuna upungufu wa biblia tunaomba msaada wako hata biblia kumi na tano zinatosha kabisa
Tusaidie
Yaah kijana akiwa ccm nampongeza sababu ni sehemu ya kuvunaSias ndio inafany yote hayo yaend sawa.
Kumbe Kweli Bora niwe ccm nuvune pesabila ya siasa hata huo mpira hutoshabikia
Cjaelew vyemaYaah kijana akiwa ccm nampongeza sababu ni sehemu ya kuvuna
Je wajua kuna watu wanao zaliwa kinyume na maumbile ya mama zao?Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Ccm ni sehemu nzuri kwa kijana anayependa siasa sababu atavuna utajiriCjaelew vyema
Punguza ujinga chief siasa uifanye husiifanye matokeo yake hayakwepeki ndio maana umekuja kuizungumzia hapa, imekuwa designed ili kulinda nature, mpira umekuwa deigned ili kusaidia siasa itawale zaidiTangia ufanye siasa umepata faida Gani?