Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
-
- #41
WeJe wajua kuna watu wanao zaliwa kinyume na maumbile ya mama zao?
Kweli Mimi ni mjinga sababu sipati pesa kwenye siasa ila mtu akiwa ccm nampongeza sana sababu atavuna utajiri wa milelePunguza ujinga chief siasa uifanye husiifanye matokeo yake hayakwepeki ndio maana umekuja kuizungumzia hapa, imekuwa designed ili kulinda nature, mpira umekuwa deigned ili kusaidia siasa itawale zaidi
Kulingana na Aristotle hata wewe unachofanya kama kuanzisha kanisa la mipesa ni siasa, Sasa wewe kwakuwa unachofanya ni siasa pia. Kwa nadharia hii nikuulize umenufaika vipi na aina ya siasa unayoifanya?.
Ingia ccmHivi zinatafutwa wapi, wengine tumeambulia hela ya vocha tu
Hufanyi siasa wapi wewe nawe?, Unafikir kufanya siasa ni kuwa ccm na chadema tu?.We
Kweli Mimi ni mjinga sababu sipati pesa kwenye siasa ila mtu akiwa ccm nampongeza sana sababu atavuna utajiri wa milele
Gazeti lefu limejaa pumba rudia kusoma ulichoandika utagundua huna akiliHufanyi siasa wapi wewe nawe?, Unafikir kufanya siasa ni kuwa ccm na chadema tu?.
Mwanafalsafa mmoja akasema siasa ni Sanaa ya uwezekano "art of possible"
Kitendo cha kuwatoza watu laki moja ili wajiunge kwenye kanisa la mihela wakapate hela hiyo ndio siasa, kufanya uwezekano hata kama ni uongo kama unavyofanya.
Unajua ulichokiandika lakini au unafuata mkumbo nikuulize swaliSiasa ni kila kitu, siasa inaanzia kwenye level ya familia hadi Taifa, bila siasa hakuna maisha.
Kwahiyo vijana wanayo fursa kubwa sana tena ya lazima kushiriki kwenye siasa.
Nasemaje hicho unachofanya mtu kutoa laki ili ajiunge na kanisa lako la mihela hiyo ni siasa sababu unatumia sanaa ya siasa kulazimisha uwezekano. Mbona unakwepa ukweli?.Gazeti lefu limejaa pumba rudia kusoma ulichoandika utagundua huna akili
Nahisi umechanganyikiwa na umasikini maana unachoongea hakieleweki sikujibu tena napoteza mda kumbe kuongea na kichaaNasemaje hicho unachofanya mtu kutoa laki ili ajiunge na kanisa lako la mihela hiyo ni siasa sababu unatumia sanaa ya siasa kulazimisha uwezekano. Mbona unakwepa ukweli?.
Huwezo wa kunijibu huna sababu uelewa wako ni mdogo kuhusu siasa. Wewe endelea tu kukemea umasikini ila usidhubutu kutufundisha siasa. Sababu hujui msingi wake ni nini.Nahisi umechanganyikiwa na umasikini maana unachoongea hakieleweki sikujibu tena napoteza mda kumbe kuongea na kichaa
Acha dharau jombaUnamsongo wa mawazo wa umasikini Mimi sijapangia mtu nimesema nawashauri vijana na wewe sio kijana ni mzee ambae hata banda la kulala huna wenzio wakiendesha V8 Sasa nashangaa unatoa povu
Siasa ndio maisha...Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Wewe mjinga hizi takataka zako slziishie huko huko instagramKatika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Kwenye siasa usipokuwa na hela jiandae kutumikishwa kuweka.mstari wa mbele.Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia
Endelea kutumikishwa harafu itajulikana nani mjinga wewe usiye na hela au mwenye pesa.Huna point. Tuache siasa nchi iuzwe na wajinga
Masikini bhana,🤣Dogo huto tumilioni 200 ulitonato ndo unatuletea fujo Wajomba zako tuna Bonds za B+ na tumetulia tu
Kweli siasa ni na maisha yenyewe ni kutumikishwa na kuuwawaSiasa ndio maisha...
Ushauri mbovu. Mkitawaliwa na watoto wa akina Makamba,Kikwete, Samia, Mwinyi, Kigoda, Nchimbi,Nnauye, Kawawa, Malima na wengine mnaanza kulalamika wakati wao waliwaelekeza vijana wao kwenye siasa wakijua kuna ulaji wa bure na pesa bwerere?Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza mwanasiasa nadhani mmejionea wenyewe kinachoendelea mitandao I mimi natafuta hela nakula bata lakini masikini mmekazana kushupaza shingo kuitukana ccm kumbe wenye matatizo yapo chadema chama kisichotaka demokrasia