Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

acha watamalizia tu wengine.....
 
Birthday boy umeshaanza hizo shughuli zote😁😁😁😁
Happy belated birthday CONTROLA mwenye controls zake. More blessing bro
Jamani mama D what more can i say?

Thank you mama, ur wish mean a lot to me

Japo umechelewa ila namba yangu ya tigo pesa ni ile ileπŸ™ŠπŸ™ˆ

Watoto sisi bwana,just imagine kwenye birthday juzi "wameniletea wale baikoko"

unafikiri hii akili itakuwa ya kitoto tena kweli?🀣🀣
 
Hahaha check msg tigopesa ukaji enjoy mchana huu...
Ila sasa kwa Uzi huu nimegundua hata CONTROLA anaweza kuwa under control tuu... Wanawake tuna nguvu sana kwa kweli🀣🀣🀣🀣
 
Hahaha check msg tigopesa ukaji enjoy mchana huu...
Ila sasa kwa Uzi huu nimegundua hata CONTROLA anaweza kuwa under control tuu... Wanawake tuna nguvu sana kwa kweli🀣🀣🀣🀣
sina ubishi katika hilo mama D yaniiiii πŸ˜‚ πŸ˜‚

ukorofi utata huku nnje tu,ila ndani mikonoπŸ™ŒπŸ™Œ juu

sema na wewe mama D msg ya tgo pesa mbona "sijaona ya kutolea" sasa😹😹
 
sina ubishi katika hilo mama D yaniiiii πŸ˜‚ πŸ˜‚

ukorofi utata huku nnje tu,ila ndani mikonoπŸ™ŒπŸ™Œ juu

sema na wewe mama D msg ya tgo pesa mbona "sijaona ya kutolea" sasa😹😹
😁😁😁😁safiii
Au nimekosea number😎😎😎😎
 
😁😁😁😁safiii
Au nimekosea number😎😎😎😎
ebu angalia vizuri,kwani miwani yako huvai sku izi?

ebu kuwa makini miamala hii jamani 🀣
 
hakuna anaejivunia kivipi mkuu? umeshawahi kukutana na mwanamke hajaona period mwezi wapili unaenda?

wanakuaga na mawazo hata kuku aliepokonywa kifaranga wake na mwewe hawi vile aseee.
Kwakweli nisipoona period yangu napata mawazo Sana...naipenda period yangu sanaaaa AAA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitu period hafu uwe na hiyo HQ [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli nisipoona period yangu napata mawazo Sana...naipenda period yangu sanaaaa AAA.
 
Kufua nepi ya mtoto sijawahi,
Ila kumvesha nepi, pampaz, kumsafisha n.k nishafanya kwa mtoto.

Kumvesha pedi, kumvua, kumnyoa n.k nishafanya, na naona ni vitu vya kawaida saana, sijui imekuwaje ukalinganishe na kubeba zege.
 
yote heri na sawa.....pale kwenye pedi mshumaa utawaka...sina subira........endelea tuu mkuu...ni mahaba pia
 
yeah one time she was sick she couldnt even move and i was with her and its was her period{mestrual} so i cleaned her , and took those pads and put their for like a week until she was full regain her normal health.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…