Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

yeah one time she was sick she couldnt even move and i was with her and its was her period{mestrual} so i cleaned her , and took those pads and put their for like a week until she was full regain her normal health.
kama una kunywa mbege sogea kwa hapa mbele tujumuike pamoja

bills juu yangu, kumbe bado wanaume mpo duniani Safi sana.
 
Kufua nepi ya mtoto sijawahi,
Ila kumvesha nepi, pampaz, kumsafisha n.k nishafanya kwa mtoto.

Kumvesha pedi, kumvua, kumnyoa n.k nishafanya, na naona ni vitu vya kawaida saana, sijui imekuwaje ukalinganishe na kubeba zege.
kuna watu humu anakwambia bora abebe zege eti
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitu period hafu uwe na hiyo HQ [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mahaba na HQ si ya nchi hiiii kumbee πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Daah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒ
 
Ukiweza mfanyia yote hayo maisha huwa wanaona wameyapatia sana.
 
wew si controla........unaweza kontro....mimi hapana...mshumaa ukiwaka lazima uzimwe...sasa akiwa vile si kujitakia.....
njia za kuzima mshumaa mbona nyingi sana mkuu...
 
Hahaha
Hatari sana hii, vyote naweza kufanya ila pesi big no. Kaubaridi umekajuaje, au umewahi kuzivaa?

Kweli zina kaubaridi mwanana ila mie zimenishinda zinavuta chini ya tumbo,sijui ni mimi tu au?
 
Siwez kufanya upuuzi wa kishenz huo..agggggggg ajichanganye, atachezea tikitaka za tumbo shenziiiii
 
Ee ndiwooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…