Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Safi sana, Mkataba una shida gani? Nahamisha hili swali langu kwenye uzoi wenye mkataba ili unioneshe vifungu vyenye matatizo.

Pamoja na hoja nyingi, zenye mifano na nukuu za vifungu tatanishi vya mkataba humu JF, na mitandao ya kijamii, bado unauliza swali hilo[emoji848]

Pitia bandiko hili, najua umekwisha kulisoma, ujiridhishe au ukajibu hoja zake.
 
Tena Mungu mkubwa sana, Kikwete tayari ile mikataba, SGR ilikuwa kishawapa China, Bwawa kishawapa Brazil, bandari ya bagamoyo alishawapa China na Oman, jamaaa alipoingia tu akaipiga chini yote.
Uturuki walituheshimu Wagalatia baada ya lile tukio la Usaliti wa Yuda Iskarioti

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 
Bibi mdini kwenye ubora wako.
Naona unazidi kuchanganyikiwa na bado.
Kwani nini kimeuzwa hapo?...
Vipi kuhusu Ndege unazopanda kila siku?..
Kwa taarifa fiche zilizonifikia leo, Faiza Fox siyo Mbibi ni Mbabu. Kwa ruhusa yake nitaweka picha zake halisi hapa.
 
Kwa taarifa fiche zilizonifikia leo, Faiza Fox siyo Mbibi ni Mbabu. Kwa ruhusa yake nitaweka picha zake halisi hapa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Ukiwa umeolewa muite mume wako "dini" utampenda zaidi kila ukimuona
 
Ingeshaanza kama angekuwa hai ila kwa kuwa wamekabidhiwa wasio na uwezo itaendelea kuwa hadithi.
Pili kama ingesainiwa na mtajwa ingekuwa na upigaji ambao haujawahi kutokea duniani na kwa hiyo miradi isingetekelezwa pesa zingeishia mikononi mwa majizi.
 
 
Huyu ni Mama Siti mwingine amekuja bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…