Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Kwa kuwapa tenda waturuki na Wa Egypt nakubaliana na Hamza Johari kuwa mkataba wa DP World uliasisiwa na JPM.
 
Onesha kifungu kilichokufanya useme
"DPW inaingia Tanzania kama balozi"
Kwanini utie maneno yako halafu unishutumu mimi kulalamika wakati nimeuweka mkataba kamili post namba Moja, sijaona popote hilo la "ubalozi".

Unazuwa?
 
Kimei huyo anayeumia hakuchaguliwa kuwa waziri wa fedha!!!?? aiseeee
Hivi wewe hata bunge unasikiliza kweli? Hukumsikia mbunge wa vunjo Dr.kimei anasema alipokuwa mkurugenzi mkuu CRDB alipata wakati mgumu maana akaunti za wateja zilikuwa zinazuiliwa (blocked)? na fedha zinachukuliwa?
 
Hizo porojo tu hadi wa leo hamjaleta ushahidi zaidi ya maneno
 
Nakwambia ingekuwa patashika nguo kuchanika.
SGR Dar - Moro tuliwanyima wachina tukawapa waturuki waislamu. Angefanya hii Mama Samia sijui wale wakristo wenzangu ingekuwaje
Serikali ya Tanzania haina dini, ila wananchi wake wana dini na Imani zao.
Vivyo hivyo Mikataba inayoingia serikali haina uhusiano wowote na dini. Kinachoangaliwa ni uwezo, ufanisi na vigezo vingine husika.
Hata katika siasa ni kutofungamana na upande wowote.
 
Umemzikiliza pro shviji lakini au unaongea tu kwakua una mdomo na mikono ya kuandika nyuma ya keyboard
 
Mkataba upi uanoupinga?

Mimi nnauhakika wewe unapinga hewa tu, hukielewi hata unachokipinga ni nini.
Rudia kusoma thread uliyo andika afu soma comment moja moja hadi hapa mwisho pima akili yako kama unajielewa

Acha kuzeeka vibaya, wazee wenzako akili ina komaa wanapo uwendea uzee
 
Rudia kusoma thread uliyo andika afu soma comment moja moja hadi hapa mwisho pima akili yako kama unajielewa

Acha kuzeeka vibaya, wazee wenzako akili ina komaa wanapo uwendea uzee
Mkataba upi unaoupinga?
 
Kwa kuwapa tenda waturuki na Wa Egypt nakubaliana na Hamza Johari kuwa mkataba wa DP World uliasisiwa na JPM.
Ni kweli kabisa. Kuna MOU ya 2020. Hiyo haizungumzwi kabisa

HaSad ipo kwa mama tu. Kisa nini?

Mwendazake enzi zake unafikiri angenyanyua mtu mdomo?

Thubutuuu.

Mama yetu mpole sana, Yeye haongei ni vitendo tu.

Wanaojidai wajanja shauri lao, kisaikolojia inatakiwa umuogope sana mtu mpole.
 
Unajuaje kama hakuachiwa office akasaini?

Au Huna taarifa kuwa alikuwa ni vice president

Kama kura za magu ndio zimempa yy kuwa vice then hata maamuzi ambayo alifanya magu kama ni mabaya au mazuri na yeye anahusika
 
Onesha kifungu kilichokufanya useme

Kwanini utie maneno yako halafu unishutumu mimi kulalamika wakati nimeuweka mkataba kamili post namba Moja, sijaona popote hilo la "ubalozi".

Unazuwa?
Soma kwa undani Kifungu cha 20 na cha Tafsiri iliyotolewa ya DPW kwa pamoja, utaelewa nina maana gani n DPW kuwa ni kampuni ya kuwakilisha Emirate ya Dubai badala ya kuwa kampuni ya uwekezaji
 
Kimei huyo anayeumia hakuchaguliwa kuwa waziri wa fedha!!!?? aiseeee
kama hiyo ndo hoja yako basi tuna safari ndefu kumbe huyu mama samia atawaumiza nafsi zenu sana msipojicontrol mtajipatia magonjwa ya moyo maana mnaumia na kasi yake.
 
Soma kwa undani Kifungu cha 20 na cha Tafsiri iliyotolewa ya DPW kwa pamoja, utaelewa nina maana gani n DPW kuwa ni kampuni ya kuwakilisha Emirate ya Dubai badala ya kuwa kampuni ya uwekezaji
Kuna neno ubalozi au hilo umeezusha wewe tu?

Mkataba unajitafsiri wenyewe usizushe maneno yako.

Nimesoma vyote hivyo ni vifungu vya kawaida kabisa katika uwekezaji wa nchi.

Vifungu vyite vya humu havifsnyi kazi kama 1) havijaws rectified na seruklai zote mbili.

2) kama hajuba mikataba ya HGA.

Unalifahamu hilo au haulifahamu?
 
Mtajibalaguza hadi gagu ziwalegee ...Hatutaki huu Mkataba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…