Mkataba upi ambao hauutaki?Mtajibalaguza hadi gagu ziwalegee ...Hatutaki huu Mkataba!
Na bado unaamini DPW inakuja kuwekeza tu nyuma ya mgongo wa nchi yao! Na nimeuliza mara kadhaa, kwa nini haikupitia TIC au kukamilisha MoU yao na TPA. Mnaoutetea mkataba hamtoi jibu au kwa kuwa mkataba wa IGA umeandaliwa kuibeba DPW?Kuna neno ubalozi au hilo umeezusha wewe tu?
Mkataba unajitafsiri wenyewe usizushe maneno yako.
Nimesoma vyote hivyo ni vifungu vya kawaida kabisa katika uwekezaji wa nchi.
kama hiyo ndo hoja yako basi tuna safari ndefu kumbe huyu mama samia atawaumiza nafsi zenu sana msipojicontrol mtajipatia magonjwa ya moyo maana mnaumia na kasi yake.
Wee mmama unawaza kwa kutumia nini? Mbona uchawa unakusuzidi nguvu.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Hata Muislam Lipumba aliupinga mapema sana.Muislam mwenzako anayejielewa Prof Shivji leo naye kapinga limkataba la bandari
Siamini kwa Maneno tu, mbona tayari wameshaachia Dollar million 500.Na bado unaamini DPW inakuja kuwekeza tu nyuma ya mgongo wa nchi yao! Na nimeuliza mara kadhaa, kwa nini haikupitia TIC au kukamilisha MoU yao na TPA. Mnaoutetea mkataba hamtoi jibu au kwa kuwa mkataba wa IGA umeandaliwa kuibeba DPW?
Alifanya hivyo kwa sababu Kikwete alikuwa muislamu? Bwawa lipi aliwapa wa Brazil? Kikwete nguvu zake alielekeza kwenye gesi, sio hydro.Tena Mungu mkubwa sana, Kikwete tayari ile mikataba, SGR ilikuwa kishawapa China, Bwawa kishawapa Brazil, bandari ya bagamoyo alishawapa China na Oman, jamaaa alipoingia tu akaipiga chini yote.
Kumbe haupo dunia hii. Hivi unafikiri mwemdazake alikuja na mradi wowote mpya? jisomee hiyo kuhusu bwawa 👇🏾Alifanya hivyo kwa sababu Kikwete alikuwa muislamu? Bwawa lipi aliwapa wa Brazil? Kikwete nguvu zake alielekeza kwenye gesi, sio hydro.
Amandla....
Kauzibe.Alifanya hivyo kwa sababu Kikwete alikuwa muislamu? Bwawa lipi aliwapa wa Brazil? Kikwete nguvu zake alielekeza kwenye gesi, sio hydro.
Amandla....
Akili yako ipo kwenye udini tu huna lolote,Tumeshakusoma.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Sijakwepa kujibu hoja zako kwani natoa tafsiri ya dhana iliyotumiwa kutayarisha mkataba huo batili. Ila wewe, hukanushi tafsiri yangu kwa jinsi unavyoelewa hivyo vifungu vyenye utata na kujadiliwa na wengi na hata magwiji wa sheria.Siamini kwa Maneno tu, mbona tayari wameshaachia Dollar million 500.
Hiyo MoU yao na TPA unayoisema unaelewa kuwa imeshaanza kazi?
Hivi upo Tanzania hii au upo Kenya?
La "ubalozi" ulizusha uongo tu. Naona umelikwepa.
Ni kweli Kikwete alionyesha interest kwenye mradi huu kuanzia 2006. Kampuni ya IDF kutoka Afrika ya Kusini ikishirikiana na Energen ya Canada waliomba hii kazi kati ya 2006 na 2008. Inasemekana kampuni ya kichina ya Sinohydro nayo ilileta maombi 2008.Kumbe haupo dunia hii. Hivi unafikiri mwemdazake alikuja na mradi wowote mpya? jisomee hiyo kuhusu bwawa 👇🏾
3 December 2018 - Tanzania's energy sector and the Stiegler's Gorge Dam - ace
Should Tanzania build a megadam in a World Heritage site to address it's chronic power shortages? What are the incentives, corruption and resource capture implications of this and other solutions?ace.soas.ac.uk
Tena ilianza kabla ya hapo👇🏾
High optimism as RUBADA receives a Stiegler’s Gorge Power Project proposal
The Chairman of the Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) Board of Directors, Prof. Raphael Mwalyosi (second left) receiving a copy of a report and proposal of development of the Stiegler’s Gorge Power project from a Brazilian based Odebrecht International New Business Director, Mr. Fernando Soares in Dar es Salaam over the weekend. At the centre is RUBADA Director General, Mr. Aloyce Masanja and the Brazilian Ambassador to Tanzania, Mr. Fransisco Luz (extreme left).
Rais Kikwete akiwa nchini Brazil | Tanzania Embassy in ...View attachment 2672407
Hiyo ni imani yako. Swali langu ni jee alifanya unayomshutumu kwa sababu tu Kikwete ni muislamu au kulikuwa na sababu nyingine?Kauzibe.
Unajuwa maana yake? Ndiyo alilokuwa anafanya mwendazake. Kwa ujinga tu.
Hivi wewe unafikiri mradi upi aliuanzisha yeye? Yote. Kaikuta, hata ya ma flyover akaja kubadili badili Michoro. Skaweka ushuzi wake ule.
Hivi watu wakisema alikuwa na roho mbaya unafikiri utani?
Ukumbuke magu alikuwa makini aliwaacha wachina akawapa waturuki (waslam) sababu ya mkata nabei Yao ilikuwa nzuri, akubali udini Sasa nyie mkataba mmbovu mnaingia tu nini sasababu au diniSGR kasaini Rais?
Kanisa Moja Takatifu la Mitume
Muislam mbele ya Mwarabu ni Kama Mbwa mbele ya chatu.Waislamu udini unaonyesha kabisa akili zao hamna kitu kabisa yani khaa serikali inatakiwa ipambane kufuta dini zote za kigeni Tanzania. Dini ni chazo cha ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizana na Bandari kwanza. Acha kurukia rukia mamboNawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
😆😆Ukumbuke magu alikuwa makini aliwaacha wachina akawapa waturuki (waslam) sababu ya mkata nabei Yao ilikuwa nzuri, akubali udini Sasa nyie mkataba mmbovu mnaingia tu nini sasababu au dini
Acha uchochezi haukusaidii kituMuislam mbele ya Mwarabu ni Kama Mbwa mbele ya chatu.
Hana usemi Wala nguvu ya Maamuzi.
Mwarabu anaweza kumfanya chochote hata kumfira.
Kwahiyo kutegemea atafanya negotiation haiwezekani