Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

Hii ndio dawa pekee iliyo nisaidia katika maisha yangu juu ya janga la KUNGUNI.
Unatumia hivi:-
Kila unapotaka kulala unawagia kitandani kote. Hii itapelekea kunguni kukuchukia na kuama taratibu hivyo basi nilichojifunza dawa sio kuwauwa bali ni kuwafanya wakuchukie kisha waame. Ila kinachonishangaza nimechukiwa na kila KUNGUNI yaaani hata nije kulala kwako kwenye mikungini mingi baada ya wiki utakuta imeama yote. Sijjui jasholangu linanuka linanuka hii dawa.
*NB
Harufu inaweza ikawa kero kidogo kwa upande wako ila kwa upande wangu mi ni burudani nimeipenda sana tuu.
*DAWA YENYEWE
-ni sabuni ya unga.
hawa wadudu noma sana, wataalam wanadai pia kuna uhusiano wa kunguni na nguvu za giza, ukiona kwenye nyumba wapo hao jamaa ujue hapo kuna hali flani ya giza-giza japo asilimia kubwa hawa wanaletwa na uchafu.
 
Duh inawezekana Lakini🙆
 
Yupo mama alisema yeye alitumia chumvi na mafuta ya taa sikumbuki vzr ni muda umepita sasa
 
Wakuu hivi ile dawa ya rungu tunayotumia kuua mbuu je inaweza pia kuua kunguni
 
Ingia duka la dawa za Mifugo

ULIZIA DAWA INAITWA DIAZINONE

UPEWE HIO HIO NA SIO VINGINEVYO

kama uko Dar nitafute 0744033555 nikumalizie shughuli kwa elfu 15 tu
20211210_144144.jpg
 
Nakupa dawa moja ambayo wote mtaiona kama ni upuuzi ila utakuja kuleta mrejesho. Tumia DIESEL.
 
Duka la kilimo na mifugo kuna size tofauti.
Nyunyiza hadi kwenye creak za ukuta (kama ziko)na chini ya kitanda na kwenye chaga na sehemu zile unazoona wanaweza jificha alafu funga mlango shusha pazia kabisa hakimisha harufu inabaki mdani na hewa haiingii kwa mda humo ndani.
Kwani nyumba/chumba kimejengwa je.maana ushauri unatakiwa uendane na aina ya ujenzi wa nyumba,isije kuwa ni ya mbavu za mmbwa halafu nyie mnatoa ushauri wa nyumba ya tofali za cement na sakafu marumaru
 
Kuna UZI humu ulikuwepo zamanig Sana aisee kuna dawa mmoja ilipendekezwa Sanaa na wadau aisee ie dawa ndio adui mkubwa was Hawa waharibifu wa kiwanja Cha kuvunjia amri ya 6
 
Hii ndio dawa pekee iliyo nisaidia katika maisha yangu juu ya janga la KUNGUNI.
Unatumia hivi:-
Kila unapotaka kulala unawagia kitandani kote. Hii itapelekea kunguni kukuchukia na kuama taratibu hivyo basi nilichojifunza dawa sio kuwauwa bali ni kuwafanya wakuchukie kisha waame. Ila kinachonishangaza nimechukiwa na kila KUNGUNI yaaani hata nije kulala kwako kwenye mikungini mingi baada ya wiki utakuta imeama yote. Sijjui jasholangu linanuka linanuka hii dawa.
*NB
Harufu inaweza ikawa kero kidogo kwa upande wako ila kwa upande wangu mi ni burudani nimeipenda sana tuu.
*DAWA YENYEWE
-ni sabuni ya unga.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1].eti wanakuchukia yote kwa yote hiyo dawa nimeielewa nimeijaribu wanadadedi aisee...

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Walio jaribu mbinu hiyo waulize Kilichowakuta, hakuna Wadudu Wanaweza vumilia njaa muda mrefu kama kunguni...hiyo siku utakayorudi ndio Wanafufuka sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna rangi utaacha ona
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Nenda Ubungo, chini ya flyover kuna petrol station/oilcom, panda 1st floor kuna duka la kilimo ulizia dawa ya Kunguni nadhani inaitwa Nufan au Nuvan
Ni Kiboko
 
Nilihangaishwa na hawa wadudu kwa muda mrefu, nilituma kila dawa niliyoelekezwa za kienyeji na za kitaalamu bila mafanikio mpaka nilipokutana na mama mmoja anayeuza dawa ya asili ya kuua kunguni aisee! imebaki historia nililipa Tsh 1000 tu lakini kunguni waliisha Kabisa . Dawa ya huyu mama ni nzuri imeua soko la dawa za madukani mpaka wenye maduka ya kilimo hawampendi huyu mama.
 
Back
Top Bottom