Hii ndio dawa pekee iliyo nisaidia katika maisha yangu juu ya janga la KUNGUNI.
Unatumia hivi:-
Kila unapotaka kulala unawagia kitandani kote. Hii itapelekea kunguni kukuchukia na kuama taratibu hivyo basi nilichojifunza dawa sio kuwauwa bali ni kuwafanya wakuchukie kisha waame. Ila kinachonishangaza nimechukiwa na kila KUNGUNI yaaani hata nije kulala kwako kwenye mikungini mingi baada ya wiki utakuta imeama yote. Sijjui jasholangu linanuka linanuka hii dawa.
*NB
Harufu inaweza ikawa kero kidogo kwa upande wako ila kwa upande wangu mi ni burudani nimeipenda sana tuu.
*DAWA YENYEWE
-ni sabuni ya unga.