Naweza kupata pesa zangu kutoka mfuko wa jamii baada ya kutoka taasisi binafsi na kuhamia Serikalini?

Naweza kupata pesa zangu kutoka mfuko wa jamii baada ya kutoka taasisi binafsi na kuhamia Serikalini?

Joined
Sep 3, 2024
Posts
1
Reaction score
2
Habari zenu,

Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF.

Je, akihamia Serikalini huyu mtu ataweza kutoa mafao yake NSSSF?
 
Inategemeana na level ya profession yake.

Mfano Dereva, fundi Bomba, anaweze kwani anafikiriwa kama ni mtu asiye na professional endelevu na hivyo ni ngumu kwake kuajirika.

Lakini kwa Mwalimu, Eng, Accountant hawezi kupewa.

Anaweza tu kupewa ikiwa kuna ushahidi wa kutosha kwamba amekosa ajira kwa kipindi cha miezi sita. Na hapo atapewa asilimia kadhaa yaani Fao la Kukosa ajira.

Wataalam wengine wataongezea nyama
 
Back
Top Bottom