Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

Acha uchoyo hata bible haipendi.
 
Hapo nyuma yake kinatakiwa kikae kijeba cha miraba minne toka kanda ya ziwa Kimbashie kama wapo kwenye Bashi
Tena kijeba haswaah kilichokuwa nyampara jela ndo kinamfaa auntie Vee 😹😹🤣🤣

Ila ana miuno ray c anasubiri aweehh 🤣
 
Tena kijeba haswaah kilichokuwa nyampara jela ndo kinamfaa auntie Vee 😹😹🤣🤣

Ila ana miuno ray c anasubiri aweehh 🤣
Tena kisiwe kimewahi kula hizi fast foods. Kinatakiwa kiwe kinakula ugali wa mtama na kisamfu ambacha hakijatwangwa, kinashushia na maji ya mtoni yenye vyura wengi
 
Oi watu miaka 40-50 hawaitwi wala sio "wakaka" hao ni watu wazima na kina babu.
 
Pesa haijifichi, wewe kula pesa za ma tycoon ukila za wachimba chumvi utapitea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…