Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana...

Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni just kushare experience na tufurahi so please.🙏🏾

Sasa issue inakuja, sijui tuite wanatanguliza sana MATERIAL THINGS than utu ili tu kuwin situation chapchap au la, ila me nipo tofauti kiasi, mtu akijishape sana na material things najawa hofu ya kuwa nae I'm like why all these things to me (sijui ndio pepo la umasikini) japo na ujinga wangu NAPOKEA (of course yes napokea, vya maana tu) ila kuna hali ya kufeel mahaba juu yake inatoweka so nakuwa empty crate. inafika kipindi wanakata tamaaa wanaishia zao na wengine wanakuwa marafiki tu tunapeana michongo kulingana na uwezo wao.

Kwa uwazi tu niambieni nawezaje skip hizi mitego za kupokea GIFTS and LITE material kutoka kwa hawa watu bila kukubali kulala nao na wasinidhuru hapo baadae, au ndio what's goes around comes around😭😭.... NAOGOPA
View attachment 3203476
Acha uchoyo hata bible haipendi.
 
Tena kijeba haswaah kilichokuwa nyampara jela ndo kinamfaa auntie Vee 😹😹🤣🤣

Ila ana miuno ray c anasubiri aweehh 🤣
Tena kisiwe kimewahi kula hizi fast foods. Kinatakiwa kiwe kinakula ugali wa mtama na kisamfu ambacha hakijatwangwa, kinashushia na maji ya mtoni yenye vyura wengi
 
Oi watu miaka 40-50 hawaitwi wala sio "wakaka" hao ni watu wazima na kina babu.
 
Pesa haijifichi, wewe kula pesa za ma tycoon ukila za wachimba chumvi utapitea.
 
Back
Top Bottom