Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

Nimeshanga huyu besty tunapigaga story leo hii umenibadilikia tena.
Inabidi niikutumbulie macho hamna namna
Sikuwa serious Mzab. Pole ka ulikwazika.

Kesho tutafutane hebu Pale kwa Mkapa 🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Sikuwa serious Mzab. Pole ka ulikwazika.

Kesho tutafutane hebu Pale kwa Mkapa 🤸‍♀️🤸‍♀️
Usijali mie wala sijakwazika sii unajau mwenzio jf naja kjtoa stress za maisha. So be at peace.

Ah kesho nesho muhimu, mwarabu lazima atemw nyongo tena saa kumi jua kaliiii.
Uje mapema basi tule ubwabwa wa mama ntilie kabla hatuna zama ndani ya karai la big Ben😜
 
Usijali mie wala sijakwazika sii unajau mwenzio jf naja kjtoa stress za maisha. So be at peace.
Usijali Mzab 🤝
Ah kesho nesho muhimu, mwarabu lazima atemw nyongo tena saa kumi jua kaliiii.
Uje mapema basi tule ubwabwa wa mama ntilie kabla hatuna zama ndani ya karai la big Ben😜
Hahahaaa. Hofu mantashaa Mzab. 🤪
 
Weeh utaliwa na wangapi sasa
Acha kuchukua vya watu bure bure.
Sijaelewa lengo lako ni nini hasa mpaka kuandika huu uzi.

Elewa kwamba bora kutoa kuliko kupokea na kwanini unapokea bila kutoa?
 
TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana...

Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni just kushare experience na tufurahi so please.🙏🏾

Sasa issue inakuja, sijui tuite wanatanguliza sana MATERIAL THINGS than utu ili tu kuwin situation chapchap au la, ila me nipo tofauti kiasi, mtu akijishape sana na material things najawa hofu ya kuwa nae I'm like why all these things to me (sijui ndio pepo la umasikini) japo na ujinga wangu NAPOKEA (of course yes napokea, vya maana tu) ila kuna hali ya kufeel mahaba juu yake inatoweka so nakuwa empty crate. inafika kipindi wanakata tamaaa wanaishia zao na wengine wanakuwa marafiki tu tunapeana michongo kulingana na uwezo wao.

Kwa uwazi tu niambieni nawezaje skip hizi mitego za kupokea GIFTS and LITE material kutoka kwa hawa watu bila kukubali kulala nao na wasinidhuru hapo baadae, au ndio what's goes around comes around😭😭.... NAOGOPA
Wengine hatujui kiingereza
 
😹😹😹 Huyo chalamila anawajua vizuri vijana wa kigamboni michezo yao
 
Back
Top Bottom