Pa-Paa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 916
- 1,363
Sa mbona unakusanya Mapato?Pole hakuna FRAME YA BIASHARA HAPA☺️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa mbona unakusanya Mapato?Pole hakuna FRAME YA BIASHARA HAPA☺️
Sikuwa serious Mzab. Pole ka ulikwazika.Nimeshanga huyu besty tunapigaga story leo hii umenibadilikia tena.
Inabidi niikutumbulie macho hamna namna
Usijali mie wala sijakwazika sii unajau mwenzio jf naja kjtoa stress za maisha. So be at peace.Sikuwa serious Mzab. Pole ka ulikwazika.
Kesho tutafutane hebu Pale kwa Mkapa 🤸♀️🤸♀️
Usijali Mzab 🤝Usijali mie wala sijakwazika sii unajau mwenzio jf naja kjtoa stress za maisha. So be at peace.
Hahahaaa. Hofu mantashaa Mzab. 🤪Ah kesho nesho muhimu, mwarabu lazima atemw nyongo tena saa kumi jua kaliiii.
Uje mapema basi tule ubwabwa wa mama ntilie kabla hatuna zama ndani ya karai la big Ben😜
Acha kuchukua vya watu bure bure.Weeh utaliwa na wangapi sasa
Upendeze sasa na green and yellow sawa mama yangaUsijali Mzab 🤝
Hahahaaa. Hofu mantashaa Mzab. 🤪
Wengine hatujui kiingerezaTRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana...
Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni just kushare experience na tufurahi so please.🙏🏾
Sasa issue inakuja, sijui tuite wanatanguliza sana MATERIAL THINGS than utu ili tu kuwin situation chapchap au la, ila me nipo tofauti kiasi, mtu akijishape sana na material things najawa hofu ya kuwa nae I'm like why all these things to me (sijui ndio pepo la umasikini) japo na ujinga wangu NAPOKEA (of course yes napokea, vya maana tu) ila kuna hali ya kufeel mahaba juu yake inatoweka so nakuwa empty crate. inafika kipindi wanakata tamaaa wanaishia zao na wengine wanakuwa marafiki tu tunapeana michongo kulingana na uwezo wao.
Kwa uwazi tu niambieni nawezaje skip hizi mitego za kupokea GIFTS and LITE material kutoka kwa hawa watu bila kukubali kulala nao na wasinidhuru hapo baadae, au ndio what's goes around comes around😭😭.... NAOGOPA
KAma umempenda kama rafiki wa kazee ketu nenda tu hapo hata IST unapata , sio mchoyo kivyoo Tate Mkuu ni muchumba mtoaji sema hapendi watu ambao hawana futureAnachungulia kama wachaga
😹😹😹 unauza million 7?Milioni 7 mkuu hadi 8
Anauza nini kwani mkuu😹😹😹 unauza million 7?
Wewe bana buku jero chukua inakutosha kwa hadhi yako..!! Jobless_Billionaire eti million 7 hadi 8 😹😹🤣🤣
Uduvi 😹😹Anauza nini kwani mkuu
Uduvi 😹😹
Acha uzungu koko we mtotoKind off, bt si exactly the same mumy