Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Tukiwaambia Jamii hakuna Mke / Mume / Mpenzi hamuelewi! Mtajuana, hata usipomsamehe ni sawa tu.
 
Hivi watu bado mnaburuzwa na mapenzi kiac hiki jamani πŸ€”

Mtu alishakukataa muda mrefu tu imepita miaka kumi afu we bado unamuwaza?

Nenda tu ukapigwe tukio lingine ili akili zikukae sawa.
 
Hivi watu bado mnaburuzwa na mapenzi kiac hiki jamani πŸ€”

Mtu alishakukataa muda mrefu tu imepita miaka kumi afu we bado unamuwaza?

Nenda tu ukapigwe tukio lingine ili akili zikukae sawa.
Atapigwa tukio gani zaidi?
Kuliwa ni tukio?
Acheni watu wapeane ili mradi tahadhari za afya zifuatwe.

Kwani ataondoka nayo au ataiziba???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
damn[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…