Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Mapenzi ni ka ugonjwa ka laana.

Pole,mpe ile ya kukojolea kinyongo kitaisha.
 
Utakosa vitu vizuri, hata mazao hudumaa yakikosa mvua, lkn mvua ya pili inaweza kuyafufua then ongeza na mbplea utavuna vizuri tu.

Kinyongo ni ujinga...asomaye na aelewe
Ni kasoro za kibinadamu rafiki. Naamini nitakaa sawa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hahahhaa nmecheka eti " sawa njoo unit**mbe" jf ina raha sana
 
pandora box linatafutiwa funguo.....
ngoja nikunje nne hapa
 
Mpe mzigo huo.


SIMPLE!!
 
Nnakuandikia maneno machache tu: UNACHOKITAFUTA UTAKIPATA NA JAMAA KAJA NACHO NA UTAKIPATA, nnasemajeee KIPO NA UTAKIPATA maana umegoma kutumia akili unataka kuja kusema MOYO WANGU ULIKATAA ILA WANA JF NDIO WALINISHAURI. Sisi wanajukwaa hatuhusiki na ujinga wako
 
Huyo jamaa yako atakunasa kiulaini sana,kitendo cha kuanzisha hii thd kinaashiria kua jamaa atatafuna tena tu tunda.
 
Hakuna mwanamke anazaliwa cold hearted, ni wazi sisi wanaume ndio sababu ya yote hayo. Una kuta demu kapigwa matukio huko nyuma, ukikutana nae ww leo anakuwa keshakuwa sugu hahah.
That's it my man
 
Kumbe kuna watu wapo serious humu ivi[emoji23][emoji23]
 
Unakuwa kama umemziria ivi[emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…