Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Aaliyyah kwani uongo
Ni kweli muhimu ukishafanya Kosa kudate na mtu na hakukuthamini lifanye kuwa Kosa lako la mwisho hakuna second chance hapo ni Kuishi maishayako no matter ilikuumiza nenda kalilie mbele maisha yaendelee
 
Sasa ww umeamua uchafue Hali ya hewa kabisaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapana mkuu hio ndio nzuri!
Hakuna kulialiaaaa eti amekupotezea just mute kuwa na furaha endelea na mambo yako like nothing happened anashangaa tu kuona unafuraha na unaenjoy maisha hata Bila uwepo wake na unapendeza vilevile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ