Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Sema ww uko real sana...🙌😂😂😂
 
Yaani miaka 10 yote bado umemkasirikia tu mtoto wa mwanamke mwenzio, kweli D aliweza kukugusa wengine waliposhindwa 😄

Halafu hii aidii ya mamafacebook sijui ndio yule wa kitambo hapa jeiefu...
 
😑
Pole sana Miss To yeye , maumivu yapo kwa ajili ya kutukomaza.
 
Duh hili jibu ndiyo lenyewe naona na likes zimekiri kuwa jibu mujarabu.
 
Ningumu sana kuzungumzia changamoto za mahusiano ya mtu kwasababu dunia ya sasa mambo ni mengi.Usiwe mwepesi sana wa kuhukum mtu kwasababu kila mtu ana jambo lake linalomsibu moyoni.Sio mahusiano yote yanavunjika kwasababu watu hawapendani,mambo ya dunia ni mengi.Cha msingi upe moyo wako amani alafu ishi maisha yako.Kukoseana kupo cha msingi ni wewe kuamua kusamehe ili moyo upate amani.Hayo mengine upe muda upendo utaamua kwa ajili yenu.kwasababu tunaweza tukashauri ila mwisho wa siku maamuzi unayo wewe mwenyewe na sisi hatujui moyo wako ni dhaifu kwa huyo mtu kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…