Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

bado unampenda.....hapo wewe haujapata kama yeye na yeye hajapata kama wewe.

akili kichwani mwako anaweza akaamua kutulia after miserable life alopitia those years au akakupiga tukio tena.....jipe muda kutafakari hilo
 
Mimi Mungu sijui alinipa moyo gani jamani mhhhh
 
Alikuwa wapi.. miaka 10 labda alianzisha family.. ana watoto hata 6.

Ukimrudia nenda mguu miwili nje.. mpimane unapo paamini wewe..

Ila mapenzi ni kiboko kwa wengi . Hayana formula kabisaaa

Sali upate njia ya Mola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…