Nawezaje kuacha kutumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo

Kwahiyo hapa mkuu siwezi kureplace matumizi ya dawa hizi kwa matunda tu kama ndizi, parachichi na kitunguu swaumu?
 
Pole mkuu ACTUALLY
Unasumbuliwa na vidonda vya tumbo
Inaweza kuwa Una bacteria wa h-pylori
Au wingi wa ACID tumbon
Yote hayo yanakusababishia kitu kinaitwa HEARTBURN ndio ugonjwa wako mkubwa
Ndo mana ukitumia PARACHICHI au JUISI yake unaona ahueni au wakati mwingine kujihisi umepona

TiBA nzuri na ya uhakika badiri mtindo wako wa maisha hasa kula kwa wakati na pendelea zaidi kula vyakura vya jamii ya ALKARINE haswa PARACHICHI na BAMIA viwe havikosi katika milo yako ya kila siku
 
Ndio nilipimwa tatizo nimesahau jina la vipimo na jina la dawa,but kipimo kimoja unawekewa waya miguuni mpaka kifuani na kingine Kama utrasound hivi
But wewe nakushauri nenda Hospital kubwa Sana
Hivyo vipimo mimi pia nimefanya mkuu na nilienda Muhimbili lakini ndo hivyo hawajatibu tatizo bado.
 
Vidonda vya tumbo mkuu mbona sijwahi kuhisi kama nina hilo tatizo lakini nitafanya vipimo kwa uhakika, maana hili tatizo la moyo kuvuta ni la tokea utotoni huko mkuu.
 
Mkuu pole kwa maradhi yako ya moyo kupiga nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia amradhi yako.
 
Jamaa yangu nimemzika mwezi ulio pita matatizo kama yako.
Je mkuu nawezaje kuacha kama kuna mbinu maana nimefatilia reviews nying sana za watu waliotaka kuacha hizi dawa ila naona wengine huwa wanaishia kufariki, icho ndio kinanitisha mkuu.
 
Sio lazima aende physically anaweza cheki CVs zao kwenye platforms kama linkedin n.k na akawasiliana nao wakaorganize video conferencing au akattach na docs za matibabu akatatuliwa shida yake kwa bei nafuu na maisha yakaendelea!
Sawaaa, afu awalipe au wajitolee
 
Hv kwa akili yako hafifu unadhani hakuna madaktari humu wakamshauri
 
Mbona hujamwambia kuhusu pombe na sigara?
 
Kuna kitu sijaona majibu yake hapo kutokana na tatizo lako 1.BMI, 2.BP 3.Mapigo ya moyo na 4.Vipimo vya sukari ,pia muhimu kuacha vifutavyo kwa sasa,Chumvi,Pombe,Sigara, au kilevi chochote kile,Hasira ,vinyongo-kutosamehe watu,vitu vya mafuta,junk foods,vitu vya sukari nyingi kama soda na chocolate.Ukiweza kumudu hivyo kwa mwezi mzima nenda kacheki tena vipimo vyako.Hiyo Nebivolol unayotumia umesema ni nusu kidonge bado ni dose ndogo sana ingawa sijajua unatumia za miligram ngapi,kama ni za 5 mg,bado ni dose ndogo.Kwenye swala la kuacha pia huwezi kuziacha haraka ki hivyo utatakiwa kuziacha kidogo kidogo sana.Kama utaona vipimo vyako vyote viko normal na bado tatizo linaendelea mgeukie Mungu ufanyiwe maombi,wakati mwingine inaweza kuwa ni maroho yamekuvamia ndio yanayokutesa...
 
1.Kuhusu BMI, umri wangu ni 24years ,Height yangu in cm ni 175cm, uzito wangu ni 59Kg sasa hapo kucalculate bmi nimesahau kidogo ila nahisi nipo katika normal range.

 
aliacha na pia alikuwa haruhusiwi kazi ngumu. Kuna mda anabadilika mpaka jasho
Duuh yeye shida ilikua nini na dokta ndio alimwambia aziache au aliacha mwenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…