Nawezaje kuacha kutumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo

Wakuu, mimi nasumbuliwa na Left ventricular hypertrophy, imesababishwa na high blood pressure.. kwa muda sasa natumia propranolol na kwa kiasi chake imenisaidia kupunguza symptoms. Swali langu ni je, huu ugonjwa wa moyo unapona na kama ndio, unachukua muda gani kupona ?
 
Pole sana mkuu. Ugonjwa wa moyo unatibika vizuri tu na unapona kabisa
 
Hakika akizingatia hata anamalizana na tatizo, hii hata ilishanikuta ni kwa advance nikapitia hizi na sa hivi nishasahau tatizo lenyewe
 
Pole sana kiongozi,
Mungu yupo utapona faata ushauri wa madaktari tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…