Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

Safi πŸ˜€
Sasa tumekubaliana kwanini kule kwa yule firauni mwingine ulikataa ukawa unamtetea? Ulikuwa unamtetea mwanaume mwenzio?
Yule mwanaume mshenzi wa kule anakoelekea atafanya km alichofanyiwa huyu bi dada
 
njoo inbox nikushauri
 
We endelea tu hakuna namna ujinga wako ufanye mwenyewe leo marinda yamepwaya unatushirikisha au unataka wa kukuendelezea mchezo wako nn. Hapa linatafutwa jitu la kufukua tope mtaroni
 
Nakuona unakwepa naomba toa ushauri km uliotoa kule kwa yule firauni mwingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mtumishi Mama mchungaji @Lamomy
Safi πŸ˜€
Sasa tumekubaliana kwanini kule kwa yule firauni mwingine ulikataa ukawa unamtetea? Ulikuwa unamtetea mwanaume mwenzio?
Yule mwanaume mshenzi wa kule anakoelekea atafanya km alichofanyiwa huyu bi dada
Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu...
Kama mtumishi na mshirika wa haki singeweza na kwakweli hayupo wa kuweza kutoa hukumu kwa ushahidi wa meseji, tutaharibu mambo, tuumiza watu, tutaonea watu na kwakweli kusononesha watu wa Mungu. Hakuna kipimo cha kuthibitisha pasina shaka hizo meseji ni za kweli nw ni za nani. Itatuwia vigumu kitengua hiyo ndoa au uhusiano....

Ni Wito na Rai yangu kwetu sote yanapotukuta kama haya tumshirikishe Mungu kwanza na kumuomba atujajie utulivu, mbinu na maarifa mujarabu ya kujinasua katika masakata haya, ili hatimae asiwepo wa kuathirika au kuonewa katika familia husika bali haki, usawa na upendo vitamalaki.....
Ooh hallelujah....

Basi,
baada ya kusema hayo tafadhali mama mchungaji Lamomy nakuhitaji inbox mara moja kuna jambo la kifamilia nawiwa kushirikisha muda huu, ni muhimu sana...
Kwa Jina La Baba Mwana na Roho,
Amina...
 
Tafuta kondoo aliyenona kisha ule mkia wake tengeneza supu ambayo utatakiwa uinywe bila kuwekea chumvi, limao au kiungo chochote hadi mkia wote uishe. Pia hiyo siku ya kwanza utakayokuwa unaanza kunywa hiyo supu usivae kabisa viatu na wala usioge.
 
Lakini yule yeye mwenyewe kakiri ndiomana anaomba ushauri mke asimuache.
Kwa hili baba mtumishi unaegemea upande mmoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Basi, tukawa tunaendelea na mchezo huo mpaka nikawa nazoeazoea, ikafika mahali nikawa nikichepuka, basi lazima huyo mwanaume wa pembeni ninaechepuka nae nimlazimishe aniingilie nyuma
 
Namuonea huruma huyo mwanaume mwezangu atakaye kua mpenzi wako mpya hakika atakuta bikra zote hazipo
 
Njia pekee ya kupona ni kutubu kwa Mungfu na kuamua kumkaribisha Yesu katika maisha yako awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Na jambo hili ulifanye kwa moyo wa dhati na udhamirie kuacha dhambi na si hilo moja tu ulilolisema. Acha kabisa mahusiano nje ya ndoa. Kama unahitaji msaada wa Mungu kwa dhati omba sala hii ya TOBA: BABA YANGU WA MBINGUNI NAJA KWAKO KWA JINA LA YESU KRISTO. MIMI NI MWENYE DHAMBI, NINAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE NINAZOZIKUMBUKA NA AMBAZO SIZIKUMBUKI. NINAMKARIBISHA YESU KATIKA MOYO WANGU AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. TANGU LEO NINAMKATAA SHETANI NA KAZI ZAKE ZOTE, NINAMKUBALI YESU AWE BWANA WANGU NA MWOKOZI WANGU. ASANTE YESU KWA KUNISAMEHE NA KUNIOKOA, NINAKUOMBA YESU UNIPE NGUVU YA KUMSHINDA SHETANI NA TAMAA ZAKE ZOTE.

Kama umemwomba Mungu toba kwa dhati kupitia sala ya toba hiyo hapo juu, Mungu amekusamehe dhambi zote, na wewe pia unapaswa kujisamehe!! usijisikie mnyonge kwa dhambi zako za zamani ambazo Mungu ameshakusamehe. Ma,mbo ya kufanya:
1. Waambie rafiki zako wa karibu wote (akiwemo huyo aliyekuwa mpenzi wako) kuwa umeamua kuokoka kwa hiyo tangu sasa umeachana na maisha ya dhambi. Wapo watakaokupongeza lakini wengi wanaweza kukubeza na kukucheka, wala usijali bali songa mbele na maamuzi yako.
2. Tafuta kanisa la kiroho lililo karibu nawe (siyo kwa mitume na manabii) la watu waliookoka na amua kuwa mshirika/mwanachama wa kanisa hilo. Yako makanisa mengi mazuri lakini napendekeza kanisa la TAG (Tanzania Assemblies of God). Lakini kuna KLPT (Kan isa la Pentekoste Tanzania), FPCT (Free Pentecost Church of Tanzania), EAGT (Evangelistic Assemblies of God Tanzania). Hakikisha unajitambulisha kwa kwa viongozi wa kanisa utakalojiunga na omba kuonana na mchungaji na umweleze kuwa umeamua kuokoka na kuwa mshirika hapo kanisani.
3. Soma Biblia kila siku angalau sura moja kwa siku na kuitafakari. Napendekeza uanze na kitabu cha Yohana. Ili kufanikisha hili hakikisha unanunua Biblia hama huna.
4. Mwombe Mungu kila siku, hakikisha kila ukiamka mwombe Mungu mambo yafuatayo: Akujalie kushinda vishawishi vya dhambi, nguvu na uwezo wa kusema HAPANA kwa ushawuishi wa dhambi. Mwombe Mungu akusaidie katika kazi zako za kujipatia kipato kwa siku hiyo. Mwombe pia jambo lolote unalihitaji akufanyie, kwa mfano kama unaumwa mwombe akuponye kisha nenda hospitali.
5. Hakikisha haukosi ibada kwa mujibu wa ratiba za ibada kwa kanisa utakalojiunga nalo.
 
Lakini yule yeye mwenyewe kakiri ndiomana anaomba ushauri mke asimuache.
Kwa hili baba mtumishi unaegemea upande mmoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mama mchungaji, mtumishi na msaidizi wangu kipenzi katika huduma Lamomy

Wale wa meseji wataachana tu kwa utaratibu wao mathalani kwa kuchochewa na ghadhabu, mihemko, hasira au walichokana na walikua na mpango wa kuachana na hawakua na sababu ya Msingi kufanya hivyo. Hata hivyo yawezekana ni maigizo tu ya kutengeneza ili waachane na hapakua na ukweli wowote. Sitaki kudevelep theories nyingine niachie tu hapo....
Lakini kiutaratibu haki, usawa na sheria utengano huo utakosa baraka za kanisa, msikiti au mahakama kwa kua ushahidi ni kiduchu sana na duni kuthibitisha hilo, na kwahivyo utengano huo utaitwa utengano holela....

Huyu wa kusumbuliwa na mbabe na kuingiliwa kinyume na maumbile nadhani nimeeleza vizuri na kwa uwazi pia.
Huyo bwana hamfai ni muuaji wa mwili na Roho yake aachane nae mara moja....

Kwako Mama mchungaji....
 
Kiutaratibu mwanamme anatakiwa akuzidi umri, nashangaa unavyosema hukujali hilo
Huo utaratibu uliwekwa na nani? Cha maana ni wawili kupendana kwa dhati (Kwa wenye lengo la kuwa na ndoa). Mke anaweza kuwa mkubwa au mume anaweza kuwa mkubwa. Hayo mengine ni mazoea tu yasiyo na tija. Ila ni busara tofauti ya umri isizidi miaka 10.
 
Aisee, pole kwa yanayokusibu, ilibidi ile day 1 aliyokuomba kinyume umkatalie ili ajue msimamo wako, but kama unaweza punguza mawasiliano naye hapo ataona umebadilika na atamove on.

Mtu anayekupenda hawezi kukufanyia vitu vibaya. Achana naye tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…