Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Safi 😀Mama mchungaji kipenzi changu mtumishi Lamomy
Hili nilishalitolea ushauri mujarabu mapema sana, labda nirudie tena na kuongeza kidogo....
Kwanza lazma uelewe bila chembe ya shaka anaekuingilia kinyume cha maumbile hakupendi na hana upendo na wewe hata kidogo kama chembe ya haradali.Huyu ni adui mkubwa wa utu, afya, utakatifu na zawadi ya Uhai aliokujalia Mwenyezi Mungu...
Hilo la kwanza....
Jambo la pili,
kuingiliwa kinyume cha maumbile kwa wana ndoa ni sababu toshelezi kabisa isiyo na shaka ya kutenguliwa kwa ndoa.
Kwasbabu tutapitia vipimo vya afya na kuthibitisha uharibifu huko nyuma na ikithibitika pamoja na maelezo ya wahusika, basi ndoa ile itatenguliwa bila tashwishwi wala wasiwasi wowote na kanisa, msikiti au mahakamani.....
Ushauri wangu kwa bidada huyu mpendwa ni wa wazi kabisa kwenye point yangu ya kwanza. Aachane na huyo firauni asiejali utu wake na anaeharibu afya na kuhatarisha Uhai wake..
Kwako Mama mchungaji....
Sasa tumekubaliana kwanini kule kwa yule firauni mwingine ulikataa ukawa unamtetea? Ulikuwa unamtetea mwanaume mwenzio?
Yule mwanaume mshenzi wa kule anakoelekea atafanya km alichofanyiwa huyu bi dada