Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

Marketing skills yako ipo juu sana, hongera. Ni dm namba yako napenda sana vichongeo.
 
Huyo mume unaishi naye kwenye ndoa au ni mahusiano???

Kama ni mahusiano basi hakuna haja kumlaumu mtu maana uliyetaka mwenyewe. Unakutana tu na mwanaume njiani hujui tabia zake, hujui Ndugu zake wana vinasaba GANI??, hujui ana maradhi GANI?? Wewe unaanzisha nae safari ya mahusiano mpaka mnafikia hatua ya kUZINI maana yake hayo mahusiano umeyafurahia mwenyewe.

So hakuna mtu wakukushauri kitu ambacho umekitafuta mwenyewe na kukuumiza mwenyewe acha ulimwengu uku funze
 
Nyongeza.

1. ajutie kwa dhati juu ya dhambi hio.

2. aweke mkata na M/Mungu kuwa hatorudia dhambi hio

3. akemee na arekebishe kila maovu ya dhambi hio. (Iwe kwa mkono, ulimi na akishindwa akemee moyoni).

NB: Kama ni tangazo, basi lolote baya limkute muhusika.
 
Mtumishi Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu,

hebu ñjoo inbo mara moja....
Hili bila maombi na maombezi ya kilo ni ngumu kulielewa na kuiona suluhu ya amani na uhakika, kwasbabu maelezo ya kujitosheleza juu ya hili hatunayo na kwahivyo hatutaweza kufikia muafaka wenye Baraka za Mungu au kutoa hukumu ya ya haki ispokua, tutachochewa na kusukumwa na mihemko, jazba na uonevu dhidi ya pengine asiestahili...
Amen....
Kwako Mama mchungaji...
 
Pole sana dada.

Achana nae,mwambie basi mahusiano,hautaki dhambi tena.

just simpel
 
Aimen
 
Nakuona unakwepa naomba toa ushauri km uliotoa kule kwa yule firauni mwingine 😂😂😂
 
Kiutaratibu mwanamme anatakiwa akuzidi umri, nashangaa unavyosema hukujali hilo.
 
Upambane naye kiume!!!??? Mpaka hapo hii ni CHAI ma wewe ni mchicha mwiba (SHOGA)
 
Nakuona unakwepa naomba toa ushauri km uliotoa kule kwa yule firauni mwingine 😂😂😂
Mama mchungaji kipenzi changu mtumishi Lamomy

Hili nilishalitolea ushauri mujarabu mapema sana, labda nirudie tena na kuongeza kidogo....

Kwanza lazma uelewe bila chembe ya shaka anaekuingilia kinyume cha maumbile hakupendi na hana upendo na wewe hata kidogo kama chembe ya haradali.Huyu ni adui mkubwa wa utu, afya, utakatifu na zawadi ya Uhai aliokujalia Mwenyezi Mungu...
Hilo la kwanza....

Jambo la pili,
kuingiliwa kinyume cha maumbile kwa wana ndoa ni sababu toshelezi kabisa isiyo na shaka ya kutenguliwa kwa ndoa.
Kwasbabu tutapitia vipimo vya afya na kuthibitisha uharibifu huko nyuma na ikithibitika pamoja na maelezo ya wahusika, basi ndoa ile itatenguliwa bila tashwishwi wala wasiwasi wowote na kanisa, msikiti au mahakamani.....

Ushauri wangu kwa bidada huyu mpendwa ni wa wazi kabisa kwenye point yangu ya kwanza. Aachane na huyo firauni asiejali utu wake na anaeharibu afya na kuhatarisha Uhai wake..

Kwako Mama mchungaji....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…