raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 12,030
- 37,571
Mahakama ya wanyonge π
Ushuhuda mwingine huu wa KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI. Kikubwa usimdhuru hata kidogo huyo Mke wako wa ndoa takatifu, mali ni vitu vinatafutwa kwa mwanaume, ukiweza andikisha majina ya watoto mali zenu zote..... Ila ukipata nafasi ya kuwa single USIICHEZEEWakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.
Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.
Haya mambo ya haki sawa yanakata.
Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Naomba tu msaada wa mawazo
Usiue tu mkuu π€Wakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.
Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.
Haya mambo ya haki sawa yanakata.
Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Naomba tu msaada wa mawazo
Yes hii ni shortcut unapiga mtu anakwenda na ajali imeisha...πππView attachment 3685490
Usione kama umefika sanaa mkuu..watu hubadilika...huko kuniaminisha kwako siku moja utakuja ulie machoz yaliyochangamana na kamasi..Hivi ndoa ni kitu cha lazima sana ? mbona watu weusi ni kama mnateseka sna ? Why would you live kwenye maisha ambayo inabidi uteseke kuficha your assets
Halaf mbona haya mambo hatusikii kwa wahindi waarabu ni black peoples tu
Tatizo kubwa black people mlipoteza identity yenu
Namshukuru mungu nilipata woman ambae kwanza kwao wa kishua, na yeye mwenyewe anazoβ¦β¦ michakato yote ya pesa zake inapitia kwangu , kadhalika yangu inapitia kwake
Discussion yetu kubwa ni je tuwajenge vipi watoto wetunuwezo waje kuendeleza Mali zetu baadae
Kuwe na continuity β¦.. Kama wahindi vile
Kama upo na wife na huwezi kuwa na discussion kama hizi ujue wote nyie ni wahalifu na wahuni ndio maanq Mwisho wa siku wahalifu hupigana risasi
Mtoto wa kiume unalilia kuandikwa kwenye hati, what a shame
πππYaani mkeo unamwita kibaka π
inaonekana wazi kuwa hamshiriki tendo la ndoa mara kwa ndio maana ndoa imejaa migogoro na mwanamke anakuwa sio mtiifu kwako.Wakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.
Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.
Haya mambo ya haki sawa yanakata.
Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Naomba tu msaada wa mawazo
Mdogo wangu nyie oleweni tu imagine anamuita kibaka mtu anayempikia π watu hawaogopi kufaπππ