The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Muulize Yule mchezaji wa PSG au unataka yakupate ya Eboue?
hivi unawezaje kuishi na ntu usimuamini kias hikiWakuu naombeni mbinu Niko mahali pagumu, ndoa hii haina muda mrefu itavunjika.
Nawaza sana juu ya mali zangu nilizozipata kwa shida, huyu kibaka asipite nazo siku za mbeleni.
Haya mambo ya haki sawa yanakata.
Huyu mwanamke ananyemelea documents tugawane Mali
Naomba tu msaada wa mawazo
Huyu tumwambie au tumuache kwanza?hivi unawezaje kuishi na ntu usimuamini kias hiki
yaani mimi hata ndoa yangu ikivunjuka kesho
huyu jamaa namtrust kwenye mali na fedha kuliko kawaida
yaani sijui kama kuna mtu nitakuja kumuamini kama huyu naona hayupo
Uza Kisha nunua hisa au bond za BOT, hisa na bond sio matrimonial it’s personal na hamtagawana.Akizuchukua Mali zote na watoto, Mimi nitaishi vipi mkuu.
Lengo lake achukue Mali na watoto Bado ni wadogo kisheria wanapaswa kuwa mama.
Sasa Mimi nitaanza upya aisee
Nibaki Sina kitu
Jidanganye,you may grow out of love ila trust huwa haibadiliki
Waache wagombanie mali,na jela wanaenda bila Mali.Yes hii ni shortcut unapiga mtu anakwenda na ajali imeisha...
Sema watu wanateseka na ndoa mpaka huruma unamwachia tu asepe navyo ukiwa na amani mbona mali inatafutika tu.
Hivi Wagaganga wengi kwanini wanapenda kutumia Biblia..
hamna definition moja kwa kuwa watu wana ishi na watu tofautiJidanganye,
Trust can shatter in seconds due to betrayal,broken promise or dishonesty or others factors.
Kwa ndugu napinga hoja ila Kwa mzazi mmoja ambae amewazaa kutoka Kwa baba mmoja pekee mfano kama ni mama yake anawatoto wa baba mmoja hii ni sawa. Then anatafuta mwanasheria anamwambia mama yake akubari kama mama atatangulia mbele za haki Mali zote zitakuwa za mwanangu Fulani Kwasababu yeye ndy aliozichuma na kunimilikisha Mimi mama yake. Hapo Mali itakuwa ni yake tu hata ndugu watabaki kuangalia tu.Ziweke kwa majina ya ndugu zako wa karibu kama wapo vizuti kichwani
Kama hawaeleweki utavuna mabua
Wewe hutaki kuongea sana au sio
mimi sidhan kama yeye ananiamini maana moyo wake siufaham lakin kwa upande wanguJidanganye,
Trust can shatter in seconds due to betrayal,broken promise or dishonesty or others factors.
Hakuna sehemu nimesema kua watu wanaishi na watu tofauti,hamna definition moja kwa kuwa watu wana ishi na watu tofauti
Watu hubadilika,some people mask intention until situation benefit them directly,but mimi naweza nikaachana na huyu mtu muda wowote
ila kwa miaka 10 ambayo nimeishi nae i think he is the most honest person kwenye mali kuliko hata ndugu zangu
wa tumbo moja
Mimi sijakwambia kua usimuamini But be careful.na sidhan kwenye maisha yangu nitakaa nimuamin mtu kwenye pesa kama huyu
trust me sio watu wote wanaingia kapu moja
Akiandika majina ya watoto ni nzuri zaidi maana hata mke hatakuwa mmiliki, inatokea mama kawatoka kina kaka dada hawataangalia hii ni ya ndugu yetu watavigawana na vya ndugu yaoAndika jina la Mama yako kwenye hati ya mali zako