Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

Hakuna sehemu nimesema kua watu wanaishi na watu tofauti,

Watu hubadilika,some people mask intention until situation benefit them directly,

Mimi sijakwambia kua usimuamini But be careful.
be careful means niishi na plan B
nooo..
siwezi
ikitokea lolote hapo mbeleni i wont fight kwa ajili ya mali
i can start over with nothing hata kesho
yaani sitagombana kwa ajili ya mali
huo ni msimamo wangu
na pia huo ni msimamo wake mara nyingi tu
miaka 10 sio midogo kumjua mtu
mi siishi kwa kuviziana kabisaa
maana niliyenae namjua na ndo maana bado nipo nae
 
Watu hubadilika au hubadilishwa na external source,
Wapo wenzako walikua kama wewe na waliamini kama wewe ila at the end mambo hayakua kama walivyokua wanafikiria,
Lengo la comment yangu kwako ni kukushauri tu,

Just be careful,Don't trust too much,don't love too much,don't hope too much coz that too much can hurt you so much,

This advice based on other People's experience.
 
be careful means niishi na plan B
Hii tafsiri ni yako ila sio tafsiri yangu wala sio tafsiri rasmi ya neno Be careful,
nooo..
siwezi
ikitokea lolote hapo mbeleni i wont fight kwa ajili ya mali
Hii sentensi yako imekubaliana na nilichokisema,kumbe unajua kua ipo chance ya kutokea lolote huko mbeleni,
Mimi sijaongelea kuhusu kufight kwa ajili ya mali,nimeongelea Trust,kufight coz ya mali hiyo ni issue nyingine kabisa ambayo mimi wala sijaiongelea,
Kumbe hukuelewa kabisa point yangu.
 
likitoa lolote means tukiachana
siwez kamwe kuondoa trust
 
Hata yeye hakuamini (Trust me)
 
Wewe utakuja kulia na kusaga meno
 
Kwa Mada zako ziszo na mbele wala nyuma huwez miliki mali yoyote zaid ya tv, bedsófa, kochi na dressing table
 
Usione kama umefika sanaa mkuu..watu hubadilika...huko kuniaminisha kwako siku moja utakuja ulie machoz yaliyochangamana na kamasi..
Nimetoka kumuonya muda sio mrefu, harafu wanaume wanaolizwa ni wale wenye Imani ya muda kama aliyonayo huyu bwana. Hata siku Moja usimwamini mwanamke kupitiliza
 
 
Muda wako bado. Kaa kwa kutulia.usiwaone wanaopiga masasi ni kama walipenda
 
kwanini unaishi na mtu mwenye matatizo? achana nae mapema ukificha mali siku haupo zinapotea.
kuhusu usalama wa mali zako ongea na wanasheria wakupe ushauri
 
Mkuu kama huna panga anza kulimiliki,kama huna bastola nunua,au ha shaka la kugawanya kichwa cha mtu katikati hizi ni nyenzo muhimu ili ku get rid of devils called women
 
Tafuta mteja wa mchongo kama vile mama yako mzazi "umuuzie" halafu umpe na hizo document.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…