Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

My brotha hapo huchomoki wanawake hawa wa leo si wale wa toleo lile lililokuwa na adabu na heshima hawa wa leo wanatolea macho kwenye izo harakati na assets wakiona madogo wamekuwa wanahamishia upendo kwa watoto na wewe anakusetia pressure na kisukari ili uombe poo ,na sijui nani aliwaambia kwamba utaanza kufa wewe yeye abaki
 
📌📌📌KATAA NDOA NIPO ZANGU NAKULA MMMAAAA😄😄😄NACHEKEA CHOONI.CHAPA ILALEEE KUNGURU HAFUGIKI!!!

KULA CHUMA HICHOOO!!!!

☁️☁️KATAA NDOA MAWINGUNI CHIIIIII!!!
 
Akizuchukua Mali zote na watoto, Mimi nitaishi vipi mkuu.

Lengo lake achukue Mali na watoto Bado ni wadogo kisheria wanapaswa kuwa mama.

Sasa Mimi nitaanza upya aisee

Nibaki Sina kitu
Bado hujasema utakubali tu.😎

Nyie ndio hamkuelewa tution ya somo la kuishi nao kwa akili.
 
Usijisifu sana msifu anayekukimbiza😎


Unaliwa tyming matata sana na umeshajaa kingi anakulia mingo akupe kelbu moja utajuata kuzaliwa.

📌TRUST NO BODY, RULE NUMBER ONE!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…