Asipokuelewa tena hapa atazidi kuwaza hadi atamani kumfuata mtu ambaye hata hakuzaliwa nae, hajazaa nae wala hakumjua kwa undani.... Inawezekana kama huyo jamaa angekuwepo ungekuta siku hii ya leo huyu binti angeleta uzi wa kulalamika ndoa ngumu 😁😁Polee sanaa, hii hali ilinikuta mie kipindi fulani.
Nilikua na mtu, yule wa kushibana nae, kwa kifupi alifanya nione dunia nyepesi kwa upande fulani, kunisaidia kwa hali na mali, sijui nielezeje. Hatukua na mahusiano ya kimapenzi, ila mie nilikua na hisia nae, ile kumfungukia ndo nilishindwa.
Alikufa kwa ajari ya piki piki, kile kifo chake kilinitia kiwewe, yaan nlikua napitia wakati mgumu hatari, shida wa kumueleza situation ile na akaelewa, sikumuona.
Baadae niliamua kuwa wazi juu yangu, ku ukubali ukweli na kuacha maisha yaendelee.
Nilipona kwa kiasi chake had now.
Nashauri kubali ukweli, na epuka kumuwazia sana huyo ex, japo sio rahisi, ila amini hivyo na maisha yaendelee.
SawaMkuu inbox yangu ipo na shida wewe nipe maelekezo hapa tu najua kuna watu wanapitia nachopitia ila naamini watasoma comments yako
Sijataka kuweka yote nayopitia mkuu kwenye familia yangu kuhusiano na kifo cha huyo kijana… mwanzoni niliamini kuwa ni mipango ya Mungu lakini kadri siku zinavyoenda maneno ya ndugu zangu kila wakimuongelea huyo jamaa ni negativeInasikitisha sana
Jambo likikuuma sana jiulize hivi ni kweli au naota? Ukishagundua ni ndoto shukuru endelea na mambo yako.
Sasa ukijiuliza ukakuta ni uhalisia basi angalia kama linarekebishika urekebishe, na ukikuta halirekebishiki achana nalo uelekeze nguvu zako kwenye mambo mengine ambayo yataweza kufunika lile uliloliona kama mlima mbele yako.... Wakati huu ni wakati wa kuboresha mahusiano yako mapya.
Mwanadamu hajaumbwa kuhimili kung'ang'ania vitu ambavyo havipo kisha awe salama... Elekeza nguvu zako kwenye mahusiano yako mapya
Usijiumize tena sababu tunaishi mara 1 mdogo wetu
Sina nia ya kukukatisha tamaa lakini acha kumuwaza shetani, wewe mwenyewe ndo unakaribisha mawazo mabaya yakuandame.Dear sijui kama utakuwa umenielewa vibaya
Kuna wakati unatamani kuomba ila unashindikana unakosa ujasiri wa kuomba nguvu zinakuishia.. sijui kama umeshawahi kuondokewa na mpendwa wako
Kuna vitu ni vigumu kuvufanya peke yako lazima huitaji mtu wa pili na mimi ndio huyo ni nae mtafuta
Nina amini Mungu bado ameacha masalia yake kuna watumishi wanaoweza kuzungumza na Mungu moja kwa moja bila kuingiza uchafu wowote wa maigizo ya mafuta wala chumvi wala maji najua wapo
Nina amini kuna wachungaji ambao unaweza kufanya nao maombi na maombi yako yakajibika kwa urahisi
Dear mpk kufikia kuja hapa kuomba ushaurii nimeshajaribu kuomba mwenyewe vimeshindikana na siwezi kumchukua yoyote tu kwasababu namuona kanisani ni kaomba nae hapana
Suala la ndoa sina haraka nalo maana kama ningekuwa nataka ningekubali na hapa nilipo mtu akizungumza habari za kunioa ninaogopa situation ya niliyopitia inanirudia nawaza what if na huyu likamkuta hilo jambo
Na ndio maana natafuta uponyaji yamkini kuna sehemu nimeachia uwazi shetani akapata nafasi. What if hawa nao wakataa kunioa kumbe ni kazi ya ibilisi kuharibu
Ni kweli madam nilishanza kukubaliana na hilo ila uchungu hauishi moyoniUpo kwenye dunia yenye ups & downs....yaan ukubali ukatae changamoto hazikwepeki...ishi tu,jicancel mwenyewe kama umeona hayo unayoyaruhusu kichwani hayakuletei faida yoyote.
SIjawahi kufiwa na mpenzi lakini najiona kabisa siku ikitokea Mungu akaamua hivyo basi nitasononeka kwa wiki moja
Sijataka kuweka yote nayopitia mkuu kwenye familia yangu kuhusiano na kifo cha huyo kijana… mwanzoni niliamini kuwa ni mipango ya Mungu lakini kadri siku zinavyoenda maneno ya ndugu zangu kila wakimuongelea huyo jamaa ni negativeSina nia ya kukukatisha tamaa lakini acha kumuwaza shetani, wewe mwenyewe ndo unakaribisha mawazo mabaya yakuandame.
Unatambua kabisa kwamba kila mtu atakufa hata wewe pia ni suala la muda tu.
Kusononeka kupo lakini usiache masononeko yaharibu maisha yako.
Unachohitaji ni counselling ya kawaida tu na kusali kwa kiasi, lakini inaonekana unaamini kwamba yupo ntumishi/nabii ambae atakusaidia.
Ipo hivi...huyo nabii mtumishi atakuombea na kukemea lakini mwisho wa siku ataishia kukupa maneno ya faraja na kukushauri u-move on.
Usijipe stress kwa jambo ambalo huna uwezo wa kulirudisha liwe kama mwanzo. Huwezi kumfufua.
SIjawahi kufiwa na mpenzi lakini najiona kabisa siku ikitokea Mungu akaamua hivyo basi nitasononeka kwa wiki moja, nitaomboleza kwa mwezi mmoja hivi baada ya hapo maisha yataendelea kama kawaida na baada ya miezi mitatu kupita nitakuwa tayari nimepata mtu wa kuflirt nae. 😜
Hapana. Nimejibu kama alivyoniuliza kama nimewahi kufiwa na mpenzi.Yaani wanawake mnatupigia hesabu sikuzote sisi ndio tunatangulia kufa
Nataka sasa niondokane na hilo jambo nifanye niniPole sana tatzonhutoi nafasi mpya kwa huyu ulienae upo nae kimwili tu ila akili bado ipo kwa ex wako marehemu ndio shida hiyo
Usiwasikilize wewe boresha penzi lako jipya hadi uwafunge midomo... Ikiwezekana tengeneza maisha yako mbali kidogoSijataka kuweka yote nayopitia mkuu kwenye familia yangu kuhusiano na kifo cha huyo kijana… mwanzoni niliamini kuwa ni mipango ya Mungu lakini kadri siku zinavyoenda maneno ya ndugu zangu kila wakimuongelea huyo jamaa ni negative
Kama wazazi ambao unaowategemea wanaanza kusema kuwa huo ni mkosi inafikia hatua mimi kama binadamu lazima niogope
Hapana. Nimejibu kama alivyoniuliza kama nimewahi kufiwa na mpenzi.
Sijawahi kumpigia mahesabu huyu mtu wangu, maana najua naweza nikaanza mimi.
Lakini takwimu zipo wazi mnakufa mapema kuliko wenza wenu.
Wajua kuwa wewe hauna imani hata kidogo, ndiyo maana unahisi kuna mtu ana nguvu zaidi anaweza kukusaidia kuomba, imani haiji kwa kuombewa, ila ni wewe kuamua sasa namtafuta Mungu kwa imani yangu yote nitapata faraja.Dear sijui kama utakuwa umenielewa vibaya
Kuna wakati unatamani kuomba ila unashindikana unakosa ujasiri wa kuomba nguvu zinakuishia.. sijui kama umeshawahi kuondokewa na mpendwa wako
Kuna vitu ni vigumu kuvufanya peke yako lazima huitaji mtu wa pili na mimi ndio huyo ni nae mtafuta
Nina amini Mungu bado ameacha masalia yake kuna watumishi wanaoweza kuzungumza na Mungu moja kwa moja bila kuingiza uchafu wowote wa maigizo ya mafuta wala chumvi wala maji najua wapo
Nina amini kuna wachungaji ambao unaweza kufanya nao maombi na maombi yako yakajibika kwa urahisi
Dear mpk kufikia kuja hapa kuomba ushaurii nimeshajaribu kuomba mwenyewe vimeshindikana na siwezi kumchukua yoyote tu kwasababu namuona kanisani ni kaomba nae hapana
Suala la ndoa sina haraka nalo maana kama ningekuwa nataka ningekubali na hapa nilipo mtu akizungumza habari za kunioa ninaogopa situation ya niliyopitia inanirudia nawaza what if na huyu likamkuta hilo jambo
Na ndio maana natafuta uponyaji yamkini kuna sehemu nimeachia uwazi shetani akapata nafasi. What if hawa nao wakataa kunioa kumbe ni kazi ya ibilisi kuharibu
Nilipofiwa walijua maana jambo la uchumba lilikuwa officially kwamba alifahamika kwaiyo kwa upande wao walinishauri japo wao walilichukulia kwa wepesi kwasababu hakuwa mume lakini kwangu mimi limekuwa. MzigoKosa lako la kwanza lilikua kutowashirikisha watu wenye busara tatizo lako, pale mpendwa wako alivyotwaliwa na MUUMBA, naamini katika jamii unayoishi hawakosekani wenye hekma na busara, wafuate hao wana msaada mkubwa, cha pili kumbuka maisha ya duniani yana ukomo, usipoteze muda kwa kufikiria kifo cha mpenzi wako tu, je umewahi kufikiria kuhusu kifo chako mwenyewe? umejiandaa vipi kiroho? kuna mambo ya msingi ya kufanya duniani ukiachana na mapenzi.
Imani yako wewe na ndugu zako kuhusu Mungu ni ndogo sana.Sijataka kuweka yote nayopitia mkuu kwenye familia yangu kuhusiano na kifo cha huyo kijana… mwanzoni niliamini kuwa ni mipango ya Mungu lakini kadri siku zinavyoenda maneno ya ndugu zangu kila wakimuongelea huyo jamaa ni negative
Kama wazazi ambao unaowategemea wanaanza kusema kuwa huo ni mkosi inafikia hatua mimi kama binadamu lazima niogope
Yaan bas tyuuh, naelewa anachopitia, shida ni saikolojia yake, inatakiwa akubali lililotokea, kwan hawezi badilisha chochote.Asipokuelewa tena hapa atazidi kuwaza hadi atamani kumfuata mtu ambaye hata hakuzaliwa nae, hajazaa nae wala hakumjua kwa undani.... Inawezekana kama huyo jamaa angekuwepo ungekuta siku hii ya leo huyu binti angeleta uzi wa kulalamika ndoa ngumu 😁😁
Poleni. Mkufe tu ni mipango ya Mungu.Wanawake mnachangia sana sisi wanaume kufa mapema
Sawa nitafanyia kaziKwanza kabisa ni kukubaliana na yakiyotokea. That you cant change the past, samehe au jisamehe.
Anza kuhudhuria ibada kanisani or msikitini. Anza kurudi kwneye jamii, hudhuria misiba na harusi or sherehe nyingine
Mshirikishe mtu wa karibu yako kuhusu linalokuumiza