AmenPole sana binti, ushauri wangu, wala usiwe na wasi wasi kila kitu hupangwa na Mungu. nina tukio kama hili exactly, na mwisho wake huyu binti alipata mume safi tu , mpaka leo wanaishi vizuri kabisa. tofauti na wewe huyu aliachiwa mtoto kabisa. Sasa fikiria.
Hicho kijibu kinabidi kikamuliwe hadi kitumbuke utaanza kumsahau tatizo hujampata mtu wa kukikamua vizuri mpaka kikatumbuka kile kiini cha jibu kitokeSawa madam
Sawa mkuu… ni peke ako humu unanishauri mambo ya sex sijui kwanini labda una ushuhuda wa hilo mkuuKwa taarifa Yako sex ni roho zaidi ya hiyo mwili unayodhania
Anyway endelea kukua nadhani una shida ya uelewa!
Pole ila wewe kushindwa kumfungukia hii umetupiga udugu… ulivyo na kisirani wewe hata kumbaka ungembaka mbona 😹🤣🤣Polee sanaa, hii hali ilinikuta mie kipindi fulani.
Nilikua na mtu, yule wa kushibana nae, kwa kifupi alifanya nione dunia nyepesi kwa upande fulani, kunisaidia kwa hali na mali, sijui nielezeje. Hatukua na mahusiano ya kimapenzi, ila mie nilikua na hisia nae, ile kumfungukia ndo nilishindwa.
Alikufa kwa ajari ya piki piki, kile kifo chake kilinitia kiwewe, yaan nlikua napitia wakati mgumu hatari, shida wa kumueleza situation ile na akaelewa, sikumuona.
Baadae niliamua kuwa wazi juu yangu, ku ukubali ukweli na kuacha maisha yaendelee.
Nilipona kwa kiasi chake had now.
Nashauri kubali ukweli, na epuka kumuwazia sana huyo ex, japo sio rahisi, ila amini hivyo na maisha yaendelee.
roho ya mauti inahitaji kujitakasa vizuri sana kiroho na kimwili ili kuikabili na kuishinda,Habari wakuu
Nimehangaika sana kukabiliana na hili jambo lakini kwa uwezo wangu wote imeshindikana kabisa nahitaji msaada na ushauri haswa wa kiimani
Lakini msaada huu sipendelei munielekeze kwa manabii wala mitume wala dini nyingine tofauti na ukristo
Kama una mchungaji unamfahamu ambae ana uwezo wa kuongea na Mungu direct na shidq yangu ikatatuliwa naomba mni comments hapA
Tatizo linalonisumbua ni hili
Mimi ni binti wa umri wa miaka 26.. mwaka fulani nilipata mchumba wa kutaka kunioa.. wakati yuko kwenye hatua za kuja nyumbani sijui niseme bahati mbaya ama ni nzuri yule kaka Alifariki,, ilikuwa kama ghafla tu
Katika maisha yangu nishaumia na mengi ila hili jambo ni jambo linalo niumiza sana yaani mno… nimejitahidi kulikubali na nikajifanya nina nguvu ya kulikabiri, mbele za watu najifanya ni strong sitaki kulialia ila ndugu zanguni ni uongo ninalia sana na nina umia ndani kwa ndani kila nimkumbukapo huyo kijana
Tangu tatizo linipate sijawai kupata mtu wa kunifanyia counseling wala maombi.. sijawahi kuonana na mtu yoyote wa kidini ambae labda angeomba na mimi
Hata nikitaka kuomba mwenyewe siwezi nakosa kuomba nakosa maneno ya kuongea
Ubaya zaidi tangu huyo kijana afariki mimi kwangu mahusiano ni changamoto kila ninaempata ninafanya comparison sana kiasi kwamba najikuta naachwa achwaa
Kwa sasa nina mahusiano mapya yana miezi 5 angalau kuna ka mwanga lakini nahisi huyu Kijana atanichoka maana nampa pressure sana.. asiponitafuta nakuwa naogopa,, siogopi kuachwa naogopa nisije pewa taarifa za msiba
Hili jambo linanitesa sana hofu ya kuachwa imenitawala… hata kuolewa naogopa maana kila nikikumbuka kuhusu ex wangu marehemu inaniuma sana
Unajua Hakuna kitu kinaniuma kama kifo chake.. yaani mwanaume niliekuwa nampenda tunapenda yupo tayari kunioa.. baada ya mawasiliano ya masaa mawili napewa taarifa ya kifo chake
Mwanaume ambae tulipanga mipango mingi ya baadae…nilishaamini kuwa angeenda kuwa mme wangu,, baba wa watoto wangu,, niliacha kila kitu changu kwaajili ya kujiandaa kuwa mke wake
Unajua namna inavyouma 😭😭
Ni kama vile nilipokonywa tonge mkononi
Nahitaji kupata ushaurii wowote haswa wa kiimani
NB:
Naomba ushauri wa kwenda kwa manabii ama mitume ama watu wafananao na hao sihiitaji… siitaji kulishwa keki wala mafuta wala chumvi wala kitambaa.. sihitaji waganga wa kienyeji
Mimi ni mkristo kabisaa
Nahitaji kupata mtu wa kweli wa Mungu anaeongea na Mungu direct najua Tanzania nzima hatokosekana
Sawa mkuuMungu ameacha nini?
We nae uko na shida nyingi!
watu wenye mawazo kama mleta mada.huwa napenda waendelee kutapeliwa zaidi mpaka akili ziwakae sawa. hadi leo bado kuna watu wanaamiin kuna mtu anaweza kuongea na mungu badala yake.aisee akili gani hiii? huyu anahitiji mindset reshape kabla ya hata kupata mumeUzi ufungwe📌
Watumishi wenyewe ndo hao wa kina Kuhani😖
nimesema ana shida nying zidia ya hii!watu wenye mawazo kama mleta mada.huwa napenda waendelee kutapeliwa zaidi mpaka akili ziwakae sawa. hadi leo bado kuna watu wanaamiin kuna mtu anaweza kuongea na mungu badala yake.aisee akili gani hiii? huyu anahitiji mindset reshape kabla ya hata kupata mume
Asante mkuu.. Leo nimefanya zoezi la kufuta kila kitu chake kwenye simu yangu sikuwai kufuta hata charting zake nimefuta zote namba yake tu ndio nimeshindwa kuifutaroho ya mauti inahitaji kujitakasa vizuri sana kiroho na kimwili ili kuikabili na kuishinda,
hata hivyo,
ni muhimu zaidi kujitenga kabisaa na vitu vya marehemu kama vile picha zake, zawadi alizowahi kukununulia kama vile nguo n.k.. Ni vizuri pia kuepuka kabisaa kupita au kuishi mazingira na maeneo ambayo mlipendelea kwenda pamoja na huyo marehemu mpenzi wako.n.k
Ni Lazima zaidi kutafuta kitu cha kukufanya uwe busy, ili angalau kujitenga na upweke ambao ni janga la kisaikolojia kwa vijana wengi kwa sasa.
kumbuka,
an idle mind is devil's workshop.
Mungu akupe nguvu kushinda jaribu hilo zito my lady 🐒
Wana hekaheka sana hawa watuKadogoo na binti sayuni mpk sasa mshapitia mahusiano mangapi?? Mana kila uzi unaonyesha mpo kwenye husiano jipya mnatuchanganya washauri…!!
Ni muhimu pia kuchunguza kwa upande wao kama kitu kama hicho kimewahi kutokea, na ikiwa hakijawahi kutokea unachopaswa kujua ni nini hasa kilisababisha mtarajiwa wako akafariki.Hapana mkuu ni mimi wa kwanza
bado yuko na ujinga mwingi huyu binti. ni hatari kuwa na kiumbe cha namna hii kitanda kimoja.huyu atamtii kiongozi wa dini kuliko mumewe.hana maana huyu.nimesema ana shida nying zidia ya hii!
Anataka masalia ya Mungu ndo yaongee naye.
NYIE KUNA watu mko serious na mambo ya imaniii! kwa namna hii mi najiona kabisa navyoenda motoni!
Bora tusaidiane wanatuchosha 😹Wana hekaheka sana hawa watu
Ex wangu nampenda ila kampa mimba mwanamke mwingine
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa anashauku sana ya kuwa na mtoto yaani hii ndio sababu ilifanya nikamuacha Mimi na ex wangu Kama...www.jamiiforums.com
Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu
Wakuu habari za weekend Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye wapenzi wao wametoka mbali unakuta mtu anakusimulia yaani sisi hivi hivi hapo wana miaka hata 4...www.jamiiforums.com
Wewe utakuwa umenielewa vibaya tu mkuu au labda maelezo yangu hayajaelewekawatu wenye mawazo kama mleta mada.huwa napenda waendelee kutapeliwa zaidi mpaka akili ziwakae sawa. hadi leo bado kuna watu wanaamiin kuna mtu anaweza kuongea na mungu badala yake.aisee akili gani hiii? huyu anahitiji mindset reshape kabla ya hata kupata mume
midume inatupotezea muda tuKadogoo na binti sayuni mpk sasa mshapitia mahusiano mangapi?? Mana kila uzi unaonyesha mpo kwenye husiano jipya mnatuchanganya washauri…!!
Wanapotezea watu muda kutoa ushauri HEWABora tusaidiane wanatuchosha 😹
well done,Asante mkuu.. Leo nimefanya zoezi la kufuta kila kitu chake kwenye simu yangu sikuwai kufuta hata charting zake nimefuta zote namba yake tu ndio nimeshindwa kuifuta
Kuhusu Zawadi zake huwa nime dhihifazi mahali sijawai zitumia tena
Nataka nijue kama niweza kuzitumia hizo vitu alivyowai kunipa kama nguo saa heren cheni au nivichome moto