PAND PIERI
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 183
- 274
Ni kweli mkuu,Mimi ni mtu wa huko Mara wanaroga hatari Sana sana ukila hovyo... waliniroga kidogo niache msosi pamoja na maumivu makali niliapa nikienda nyumbani nakula ndani tena nafunga mlango.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu,tunapenda makabila mengine tatizo hilo uchawi wa kuroga watu na chakula inakera..Kwa kila Kabila lazima wachawi wawepo lakini hilo la kuroga watu na chakula ni hatari,na ukirogwa hata uende Hospital huponi mpaka wakutibu kienyenyi,Mimi ni mhanga wa hilo japokuwa chakula walichonirogea bado nabugia Kama kwaida,natamani ningekuwa na uwezo wa kukusaidia lakini Sina labda Kama unaweza kwenda kwa Mkuu wa wilaya ukamwelezea hali yako halisi bila kuficha ili amshawishi mkurugenzi jinsi ya kukusaidia kwa sababu mkuu wa Wilaya ni Mjaluo analijua uchawi huo na makali yake.Wajaluo ni noma kwa ulozi huwa hawapendi makabila tofauti na lao
Nafundisha kiswahili na english mkuuPole sana mkuu, I feel your pain. Hizi kazi ww acha tu. Ambae hayajamkuta hawezi jua maumivu unayopitia. Lakini pia baadhi ya wakuu ni mashetani wakubwa mf ni huyo wako. Piga moyo konde utayashinda.
Btw Unafundisha masomo gani
Bila connection kweli mkuu wa wilaya anaweza kunisaidia?Hapana mkuu,tunapenda makabila mengine tatizo hilo uchawi wa kuroga watu na chakula inakera..Kwa kila Kabila lazima wachawi wawepo lakini hilo la kuroga watu na chakula ni hatari,na ukirogwa hata uende Hospital huponi mpaka wakutibu kienyenyi,Mimi ni mhanga wa hilo japokuwa chakula walichonirogea bado nabugia Kama kwaida,natamani ningekuwa na uwezo wa kukusaidia lakini Sina labda Kama unaweza kwenda kwa Mkuu wa wilaya ukamwelezea hali yako halisi bila kuficha ili amshawishi mkurugenzi jinsi ya kukusaidia kwa sababu mkuu wa Wilaya ni Mjaluo analijua uchawi huo na makali yake.
Asante mkuuNashauri, kwa kuwa ushaenda kwa Mganga rudi huko utengenezwe vyema uweze rudi Job.. huenda purpose ya kipapai ilikuwa ufutwe kazi.
Kweli kabisa maana this time hataki hata kupokea simu ynguMkuu achana na hyo kazi tafute maisha pambana ukifanikiwa nenda kamsalimie na V8 huyo mkuu wa shule na umuachie hata 1m hv
KARMA IS A BITCH TRUST THAT
Mkuu usiogope nenda moja kwa moja Kama bado upo Rorya usisubiri connection kutoka kwa mtu,wewe fika huko upande gorofa waambie una shida binafsi na Mkuu wa wilaya ,Mimi mwaka Jana Kuna kenge moja alivamia kiwanja changu nikimwambia ananivimbia nikienda idara ya ardhi wananipiga tarehe,nikapanda mpaka gorofani kwake nikamwelezea A-z akampigia simu afisa ardhi , tukaondoka na afisa ardhi mpaka eneo akasimamisha ujenzi kwa maneno badae maandishi na Sasa hivi huyo kenge keshatoa matofali na mawe alizoweka hapo.Bila connection kweli mkuu wa wilaya anaweza kunisaidia?
Sio kweli. Nimekaa huko miaka na miaka nakula hadharani hakuna kitu kama hicho.Kwa wenyeji wanafahamu kule ukila chakula hadharani ujue upo hatarini kupigwa kipapai.. mimi nilikuwa bachela nikawa napenda kunywa chai mgahawani ndio wakaniotea hukohuko.
Duuh! Mi pia nlikuwa hukohukoinaelekea huko Mara wachawi sana, shemeji yangu alikua anafanya kazi Rorya alikua anapata mauza uza mpaka kaacha kazi, sema yeye aliingia kwenye biashara na katoboa vibaya sana
Bado sijaenda huko maana maelekezo ya kwanza nilipewa hayo.. Taarifa za mganga zinaandikwa wapi mkuu?Hauna taarifa labda ulienda hospitali kwaajili ya ugonjwa wako? Kama vipi katafute documents kuonyesha ulienda kwa mganga wa jadi. Pia hao CWT wanasemaje?
Sawa mkuuYale maelekezo uliyopewa ndo yanayotumika iii kukurudisha job, jaribu kuyafuata ili utumishi wakuombee kibali cha kurudishwa kazini... Jitahidi sio mlolongo ki vile la msingi ni hao wahusika wawe na muda wakukusaidia kigu ambacho naamini wote watatakukubalia..ombi lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nitafanyia kazi mkuuMkuu usiogope nenda moja kwa moja Kama bado upo Rorya usisubiri connection kutoka kwa mtu,wewe fika huko upande gorofa waambie una shida binafsi na Mkuu wa wilaya ,Mimi mwaka Jana Kuna kenge moja alivamia kiwanja changu nikimwambia ananivimbia nikienda idara ya ardhi wananipiga tarehe,nikapanda mpaka gorofani kwake nikamwelezea A-z akampigia simu afisa ardhi , tukaondoka na afisa ardhi mpaka eneo akasimamisha ujenzi kwa maneno badae maandishi na Sasa hivi huyo kenge keshatoa matofali na mawe alizoweka hapo.
Ulikuwa maeneo gani?Sio kweli. Nimekaa huko miaka na miaka nakula hadharani hakuna kitu kama hicho.
Wewe sema una magonjwa yako ya kurithi usisingizie kurogwa, hakuna uchawi. Eti ulirogwa😂😂😂.