Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

Na ngono aache mkuu? Masharti mengine kama ya mganga hayatelekezeki.
 
Mkuu uzee ni fikra age is just a number.

Kwanza penda mvi zako (wanaume wenye ndevu zenye mvi huwa wanavutia baadhi ya wanawake )

Pili acha kujiwazia mawazo hasi, uzee sio idadi ya miaka uliyonayo ni vile unavyojisikia kwenye nafsi yako

Tatu badilisha mtindo wa maisha. Ishi kama unavyoamini vijana wanaishi kuanzia kula, kuvaa, kwenda sehemu za kusocialize etc.

Nne JIKUBALI ULIVYO
 
Akiishi kama mwinyi itakuwaje
Yaani miaka 50 mbele ya uzee.
 
Naona umri unakutupa mkono hadi kimuonekano hivyo tunategemea hvi karibuni utahitaji msaada katika utekelezaji wa majukumu yako.

Carer niko hapa mheshimiwa
20usd kwa lisaa 1.😅
Kwa hio
Inabidi astaafu. Sababu uzee, bosi akihoma nenda mahakamani ithibitushe kuwa kazeeka.
Anahitaji bima ya wazee
Ahudumiwe dirisha la wazee.
Kanisani awe mzee wa kanisa.
Mtaani ajiandikishe kundi la wazee.
Kwenye bao acheze na wazee wenzake.
Aowe kibinti kama tabia za wazee cha kumuuguza uzeeni hukuu kikila mafao yake na yakiisha kina mkimbia.
 
Duh hongera mimi niliamua kunyoa kipara tu kila baada siku nne nanyoa.
Lakini zinaongezeka tu zimeanza nikiwa 18 yrs.
Basi hizo hazikuachi hata ufanyaje, mdogo wangu zimemuanza tokea darasa la sita hadi sasa yupo chuo na ananyoa tu hasuki.


Kufuatilia ni upande wa baba wana mamvi, mie nashukuru nimeepuka[emoji16]
 
Kabisa ,anatakiwa afanye hivyo huku asisahau kutupatia ajira ya caregiver kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…