NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

Umewapendelea mno wachezaji watatu wapi ni mmoja tu asipokuwepo chama tu timu imeyumba
 
Tofauti ya Simba na yanga pamoja na kupata matokeo yanayofanana dhidi ya Ihefu goli la Simba lilikuwa la mipango ila la uto limeacha maswali mengi
Hilo kawaida yenu, ile mechi Simba na Singida hamkuwa na maswali mengi mkaona ni mistake ya kipa ila kwa Yanga ni tofauti. Mechi ya Prison mchezaji kampa Sakho mpira akafunge lakini ilionekana ni mistake ila kwa Yanga huwa sio mistake ni maswali mengi
 
Weeeeeee,kwa hyo Mayele sio key player wenu bloangu?
 
Umekurupuka kama unaijua 11 eleven ya Yanga huwezi kuongea upuuzi huo.

Wewe timu kama hayupo Chama kupata matokeo kazi.
Sa unalia bloangu?

Kwani mlishikwa miguu msikipange hicho kikosi chenu mnachokiamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…